Google phone app sasa inapatikana kwa simu karibu zote za Android

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Call app bora kabisa ya kwenye simu ya Google Phone App sasa inapatikana kwa karibu simu zote za Android kwenye Google Play Store kwa ajili ya kupakuliwa.

Hii Google Phone App ilikua maalum na mahususi kwa ajili ya simu za Google, Pixel ila sasa inaweza kutumika kwa simu nyingine za Android.

Binafsi nilikua natumia Google Phone App kupitia APK kwa sababu ni nzuri kuliko Call App ya Samsung.

Binafsi napenda call, phone na message apps za Google kuliko za Samsung.

Ingia play store uijaribu.
The Google Phone app on Android helps root out spam calls. Here's what you need to know
 
Nimejaribu isearch mbona ninayo kwa simu yangu ya xiaomi na ndio default caller apps
 
Ah sio hii
Screenshot_2020-10-09-21-11-20-050_com.google.android.dialer.jpg
Screenshot_2020-10-09-21-11-12-689_com.google.android.dialer.jpg
 
Google wanatulazimsha tutumie vitu vyao kwa lazima, Binafsi sijapenda.

Simu inatakiwa ziwe na utofauti, anayetumia Samsung, aone tofauti akishika Huawei,

Google walichokifanya sasa hivi kila kampuni ya simu lazima iweke Google dialer na Messages App yao!

Tumekosa ladha ya upekee wa simu.
Kabla ya hapo kampuni mfano Xiaomi walikuwa na Messages& Dialer nzuri na ibadilika kutokana na theme

Sasa hivi huwezi kuzifanyia customize yaani vilevile lilivyotoka dukani, Linachosha.
 
Kwa

Kwani ukidownload dialer nyingine inagoma kufanya kazi?
 
Nipe mbinu mkuu njinsi naweza ku-install dialer & messages app
Kila nikizi-download kwangu zinagoma ku-run, wala hazifunguki!
 
Google wanatulazimsha tutumie vitu vyao kwa lazima, Binafsi sijapenda.

Simu inatakiwa ziwe na utofauti, anayetumia Samsung, aone tofauti akishika Huawei,

Google walichokifanya sasa hivi kila kampuni ya simu lazima iweke Google dialer na Messages App yao!

Tumekosa ladha ya upekee wa simu.
Kabla ya hapo kampuni mfano Xiaomi walikuwa na Messages& Dialer nzuri na ibadilika kutokana na theme

Sasa hivi huwezi kuzifanyia customize yaani vilevile lilivyotoka dukani, Linachosha.

Ndo maana wengi wanaprefer IOS sababu ya huo utofauti japo ni gharama.
 
Google wanatulazimsha tutumie vitu vyao kwa lazima, Binafsi sijapenda.

Simu inatakiwa ziwe na utofauti, anayetumia Samsung, aone tofauti akishika Huawei,

Google walichokifanya sasa hivi kila kampuni ya simu lazima iweke Google dialer na Messages App yao!

Tumekosa ladha ya upekee wa simu.
Kabla ya hapo kampuni mfano Xiaomi walikuwa na Messages& Dialer nzuri na ibadilika kutokana na theme

Sasa hivi huwezi kuzifanyia customize yaani vilevile lilivyotoka dukani, Linachosha.

mbaya zaidi hawajiwezi katika kubuni UI yao.

theme limekaa kama mtu anayetengeneza alikuwa na kazi nyingine.

yaani unaweza nunua simu ya 1.9 mil kutoka google,au nokia au lg zinazotumia android one.lakini the way inakaa mpaka simu inachosha.View attachment 1596520
 
Back
Top Bottom