Google phone app sasa inapatikana kwa simu karibu zote za Android

mbaya zaidi hawajiwezi katika kubuni UI yao.

theme limekaa kama mtu anayetengeneza alikuwa na kazi nyingine.

yaani unaweza nunua simu ya 1.9 mil kutoka google,au nokia au lg zinazotumia android one.lakini the way inakaa mpaka simu inachosha.View attachment 1596520
Wakeharib kitu pekee unayoweza injoy now ni kununua xiaomi ambayo ni chinese version hii ndio utainjoy full miui features, natumia note 8 ila nitaipush kwa sababu ya kukosa ladha hizo hizo za xiaomi,
 
Mwenye link ya hizzo app aweke hapa tuipakue wote
 
Nipe mbinu mkuu njinsi naweza ku-install dialer & messages app
Kila nikizi-download kwangu zinagoma ku-run, wala hazifunguki!
Jaribu Truecaller iko poa sana, ila kama utapakua trial huwezi ifurahia matangazo ni mengi hadi kero ukiweza upgrade kwenye premium.
 
Napenda kutumia MIUI apps maana zenyewe ukibadili theme na zenyewe zinabadilika muonekano!

Truecaller haibadiliki kuendana na theme.
 
Ok ila naona hata hii ya Google nayo nzuri ila waliniboa kutokuweka dark theme, sema mimi nina addiction na truecaller kitambo.
 
Google wanatulazimsha tutumie vitu vyao kwa lazima, Binafsi sijapenda.

Simu inatakiwa ziwe na utofauti, anayetumia Samsung, aone tofauti akishika Huawei,

Google walichokifanya sasa hivi kila kampuni ya simu lazima iweke Google dialer na Messages App yao!

Tumekosa ladha ya upekee wa simu.
Kabla ya hapo kampuni mfano Xiaomi walikuwa na Messages& Dialer nzuri na ibadilika kutokana na theme

Sasa hivi huwezi kuzifanyia customize yaani vilevile lilivyotoka dukani, Linachosha.
Halafu kama unaweza kunisaidia, kwenye simu yangu TECNO F1 products zote za Google ni za "go" version ambazo ni low standard kwangu. Kila nikijaribu kuinstall YOUTUBE kubwa na GOOGLE SEARCH kubwa hazikubali kabisa kupakulika kwa playstore na nikipakulia appstore nyingine haziinstall hata kwa dawa, yani nakereka sasa siuji wanalazimishia nini mivitu yenyewe ina uwezo mdogo afu wanalazimisha, utakuta nikiwa playstore nadownload inakataa kabisa na sio kwamba memory ni ndogo hapana afu unakuta wanaleta ile "but there's another version of YOUTUBE" ambayo ndio YouTube Go khaaaa. I am really fed up!
 
Hiyo simu kulingana na nguvu yake iko optimized na Android Go edition!

Ukiiwekea app kubwa kubwa itakusumbua haita-run at normal state, utaona imeanza kuwa nzito na ku-stuck kwa wingi.
 
Hapana sio kweli kwasababu kuna infinix hapa nayo inaleta usenge kama huu
 
ndio ukweli wenyewe huo,hiyo ni zile simu ambazo zinapangiwa mpaka idadi ya apps za kukaa,na kuran kulingana na ram yake.

kama apps zimefikia kiwango tajwa hata kama space bado ipo inakataa kuchukua app playstore.

nilikuwa nayo ikafika kipindi hata sms haitaki kupokea.
 
Siwez kubishana na wewe kwasababu haupo kwenye situation yangu, you speak from theories!
 
Back
Top Bottom