The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Nimejaribu isearch mbona ninayo kwa simu yangu ya xiaomi na ndio default caller appsCall app bora kabisa ya kwenye simu ya Google Phone App sasa inapatikana kwa karibu simu zote za Android kwenye Google Play Store kwa ajili ya kupakuliwa.
Hii Google Phone App ilikua maalum na mahususi kwa ajili ya simu za Google, Pixel ila sasa inaweza kutumika kwa simu nyingine za Android.
Binafsi nilikua natumia Google Phone App kupitia APK kwa sababu ni nzuri kuliko Call App ya Samsung.
Binafsi napenda call, phone na message apps za Google kuliko za Samsung.
Ingia play store uijaribu.
The Google Phone app on Android helps root out spam calls. Here's what you need to know
Ndio hiyo
Baadhi ya simu chache ndio zilikua zinaweza kuipakua.Nimejaribu isearch mbona ninayo kwa simu yangu ya xiaomi na ndio default caller apps
Kwani ukidownload dialer nyingine inagoma kufanya kazi?Google wanatulazimsha tutumie vitu vyao kwa lazima, Binafsi sijapenda.
Simu inatakiwa ziwe na utofauti, anayetumia Samsung, aone tofauti akishika Huawei,
Google walichokifanya sasa hivi kila kampuni ya simu lazima iweke Google dialer na Messages App yao!
Tumekosa ladha ya upekee wa simu.
Kabla ya hapo kampuni mfano Xiaomi walikuwa na Messages& Dialer nzuri na ibadilika kutokana na theme
Sasa hivi huwezi kuzifanyia customize yaani vilevile lilivyotoka dukani, Linachosha.
Nipe mbinu mkuu njinsi naweza ku-install dialer & messages appKwa
Kwani ukidownload dialer nyingine inagoma kufanya kazi?
Unatumia tecno gani?Nipe mbinu mkuu njinsi naweza ku-install dialer & messages app
Kila nikizi-download kwangu zinagoma ku-run, wala hazifunguki!
[emoji3][emoji3]Unatumia tecno gani?
Saivi unatumia nini mana ni miaka 6 sasa[emoji3][emoji3]
Mara ya mwisho kutumia tecno ni mwaka 2014 mkuu!
Ni Mi Note 10 liteSaivi unatumia nini mana ni miaka 6 sasa
Google wanatulazimsha tutumie vitu vyao kwa lazima, Binafsi sijapenda.