Overall pixel 4 siyo simu nzuri kama wenzake kwenye category moja ila ina vitu vyake ambavyo ni vizuri kama vile camera na stock android.Wasalaam.
Nina mpango wa kununua simu na kwa sasa options ninazozifikiria ni
1. LG G8 Thinq
2. iPhone X / XS Max / 11
3. Google Pixel 4 XL
Naomba kwa mwenye ujuzi na hizi simu za Google anieleze kwa nini hazitumiki sana kwa hapa Tanzania. Zina kasoro yoyote? Ukute labda kuna functions haziwi supported ukiitumia huku.
Natanguliza shukran!
Ni kweli naskia GCam ni balaa!Pixel bongo huzion kwasababu moja ni gharama,pili watu wengi hawazijui..ila hiyo mikasi ya pixel nafkri umeshaskia Gcam [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasalaam.
Nina mpango wa kununua simu na kwa sasa options ninazozifikiria ni
1. LG G8 Thinq
2. iPhone X / XS Max / 11
3. Google Pixel 4 XL
Naomba kwa mwenye ujuzi na hizi simu za Google anieleze kwa nini hazitumiki sana kwa hapa Tanzania. Zina kasoro yoyote? Ukute labda kuna functions haziwi supported ukiitumia huku.
Natanguliza shukran!
Mnhh......mbona iwe cheap kiasi hicho hiyo SE 2.......lazima kuna kitu hakiko sawa hapoGo for Iphone 11 au subiria Iphone SE 2 ambayo inatoka mwezi wa 3 na bei yake itakuwa below 800k
Sent using Jamii Forums mobile app
Asa wewe unaleta mambo ya Tecno hapa SMFH 😤Wauza smartphone tukutane hapa
Samsung j4+ kama mpya 350,000 Sent using Jamii Forums mobile appwww.jamiiforums.com
wakuu nauza tecno spark 2
150k nipo Dodoma
0629330383
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnhh......mbona iwe cheap kiasi hicho hiyo SE 2.......lazima kuna kitu hakiko sawa hapo
iphone hizi za laki 5 ndo za matajiri au unaelewaje umaskin[emoji23][emoji23]
iphone hizi za laki 5 ndo za matajiri au unaelewaje umaskin[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
heehheeheh tunaziona adi iphone 7 znauzwa kilo 5 siongelei hizo X,11 kwakuwa najua huna(wenye nazo hawana shobo,porojo kama ww ).Sema ushamba tu unakusumbua unahis mpk iphone ni ya matajiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu soko ndio linamlazimisha. siku hizi wenzie wanatoa highend na midrange kwa wakati mmoja ili kuteka soko la watu wote yeye hawezi kushikiria msimamo wake milele.Hahahah.... Unakumbuka Iphone SE iliuzwa sh. ngapi? Halafu unasahau kwamba iphone anashusha bei za baadhi ya simu zake. Alianza kushusha kwenye XR then kashusha tena kwenye 11.
Mwakani Iphone atatoa variants 5. Hapo variant mbili lazima ziwe za bei ndogo.
Sent using Jamii Forums mobile app