walishaconfirm kwamba mwakani zitakuwa variant 5 siyo nne. Bila shaka humo ndani kutakuwa na mid range.mkuu soko ndio linamlazimisha. siku hizi wenzie wanatoa highend na midrange kwa wakati mmoja ili kuteka soko la watu wote yeye hawezi kushikiria msimamo wake milele.
ndio maana siku hizi anatoa simu tatu tatu,na mwakani kuna tetesi zikawa nne tofauti.
Mkuu kwa jinsi unavyoshambulia wenye tecno wewe bado maskini tu. Tajiri hana time na kujarib kujisemea. Ongeza kipato mpk ifike wakat hunyoosh vidole kwa wengne ili wakutambue (uwe recognizable )
Sent using Jamii Forums mobile app
Heri uchukue tunda tu mzee
mkuu nina Google Pixel 3a offline market mpya 32 Gb... Android 11, ram 4 Gb... nichek 0682521021 bei 580k negotiableWasalaam.
Nina mpango wa kununua simu na kwa sasa options ninazozifikiria ni
1. LG G8 Thinq
2. iPhone X / XS Max / 11
3. Google Pixel 4 XL
Naomba kwa mwenye ujuzi na hizi simu za Google anieleze kwa nini hazitumiki sana kwa hapa Tanzania. Zina kasoro yoyote? Ukute labda kuna functions haziwi supported ukiitumia huku.
Natanguliza shukran!
Nini maana ya offline market mkuu?mkuu nina Google Pixel 3a offline market mpya 32 Gb... Android 11, ram 4 Gb... nichek 0682521021 bei 580k negotiable View attachment 1527584View attachment 1527580View attachment 1527581View attachment 1527582View attachment 1527583