Shariff_tz
New Member
- Jun 23, 2023
- 4
- 4
Naomba kujua kwa watumiaji wa Google pixel 7 pro,pamoja na wadau wenye uelewa wa hii simu. Je, nawezaje kuitambua kama ni simu original?
Je Kuna test ambazo naweza kuzifanya kutofautisha copy na original
Je Kuna test ambazo naweza kuzifanya kutofautisha copy na original