Google Pixel 8 Pro iko vizuri kuliko nilivyodhania

At least aseme Samsung ila huyo iPhone miyeyusho tu

iPhone ni kama outfits za Gucci





Hapo utasikia hizo nguo kila moja ni mamilion ya hela.
 
🤣🤣🤣🤣
Ila iPhone 15 Pro Max iko vizuri sana, nayo si haba
iPhone Miyeyusho tu na new features zao ambazo zimekuwa existed kwenye android miaka mingi

Utaskia sasa iPhone 15 pro max amekuja na feature mpya ya copy content yeyote kutumia OCR hata ikiwa katika mfumo wa picha

Wakati kwenye android vitu kama hivyo vipo muda mrefu na waliotuwekea hata hawakutuambia kuwa vipo (waliona havina umuhimu huo wa kupigiwa promosheni) ni sisi tu watumiaji katika kuminya minya tukajikuta tumeikuta
 
Kama unataka speed nunua iPhone za 5g, kama unataka mambo mengi nunua android.
Android hawezi mfikia iphone kuwa smooth, kwasabu ya dedicated UI rendering with real time priority.
Android Bado ni kama PC tu.
 
At least aseme Samsung ila huyo iPhone miyeyusho tu

iPhone ni kama outfits za Gucci

View attachment 2857047

View attachment 2857048

Hapo utasikia hizo nguo kila moja ni mamilion ya hela.
Katika simu Magumashi ni Iphone.

Ni siku overated sana. Ila ni jambo la muda tu watu watakuja kugundua walikua wanauziwa ugali utumbo kwa bei ya pilau kuku wa kienyeji.
 
Umeeleza mengi mazuri ila tuanzie happy kwenye Nachingwea kwanza umenikosha sana Kam unaijua Nachi ngumu
 
Google Pixel 8 Pro ukiagiza AliExpress bei inaanzia TSh 2,200,000/=
Ila ukinunua Tanzania bei inaanzia TSh 2,500,000/=, wengine wanauza hadi milioni 3 kwa version za 512GB na 1TB


Google Pixel 8 (plain) AliExpress inauzwa around TSh 1,600,000/=
Asante kwa elimu nzuri kwa hapa bongo ballast kwa dealer gani wa unamjua?
 
Katika simu Magumashi ni Iphone.

Ni siku overated sana. Ila ni jambo la muda tu watu watakuja kugundua walikua wanauziwa ugali utumbo kwa bei ya pilau kuku wa kienyeji.

Iphone si magumashi, ina quality zake over android. Binafsi natumia zote at the same time. Kila mfumo una advantages na disadvantages zake.

Ingekua simu magumashi leo hii ingebaki kama brand ya toshiba.
 
Ni hayo ma security features tu ndio yanaipa chati,kama hauko interested nayo Google pixel bado ni simu bora sana...
Security features zipi mkuu za Iphone?

Ukisikia mtu anakwambia Iphone iko secured jua huyo ni mjinga, ni mtu alie elewa chochote hapa Duniani.
 
Iphone si magumashi, ina quality zake over android. Binafsi natumia zote at the same time. Kila mfumo una advantages na disadvantages zake.

Ingekua simu magumashi leo hii ingebaki kama brand ya toshiba.
Hizo quality over android ni zipi, unaweza kunitajia 2, ama 3 kunisaidia kuelewa mkuu?

Kuhusu kubaki kua kama Toshiba, hilo ni jambo la muda tu.
 
Speed ya kufanyaje?
Android Inarun background process kama PC, ila iphone inapriotize
Mfano Ukitumia iphone 15 na Samsung au simu yeyote inayoendana comparison iphone itakimbiza
Mfano Ukiopen position kwenye mt5 ya android na iphone inawahi iPhone in ms , kwasabu inafocus on priotized thread japo Kuna vitu kama games zinazohitaji multithreading unaweza opt tu, kwaajili ya quality n.k

Android haifocus kwenye thread Moja.
Na ndio mfumo wa android ulivyo, na brands zinachokifanya ni customization tu hawawezi badilisha mfumo wa threading, na ndiomana unakuta iphone hazihitaji RAM kubwa sana kama ilivyo kwa android lakini unakuta Bado iphone ina outperform, ukija kwenye smoothness/ responsiveness.

Speed gani mzee
 
Mkuu hizi stori zako zimekuwepo miaka mingi kwamba Iphone haihitaji RAM kubwa ila ukweli leo hii Iphone zina RAM sawa na Android. Sasa kama hazihitaji RAM kubwa hizi hapa za Iphone 15 ni za nini? Ni ram sawa na Android nyingi high end.

Ilikua the same na camera, wajinga waliaminishwa kwamba Iphone ina picha nzuri sana haihitaji camera kubwa, only 12MP inatosha, leo hii Iphone 15 main camera ni 48MP Sawa na android nyingi, si wangeendelea kutumia 12MP basi? Na tegemea Iphone 16 main camera kua na MP kubwa kuliko hizo.

Iphone walichofanya ni kutengeneza marketing strategy ya kua na waumini waaminifu ambao hata Iphone akiuza mavi akayaita Imavi bado waumini watashangilia na kuyanunua kwa kua tu yanauzwa na Apple.

Apple wanachofanya ni kuwauzia watu outdated technology kwa bei ghali na waumini wanafurahia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…