Google Pixel 8 Pro iko vizuri kuliko nilivyodhania

Google Pixel 8 Pro iko vizuri kuliko nilivyodhania

Nahisi pixel anaipiga iPhone fimbo...

Naikubali sana pixel licha ya kasoro ndogo ndogo za hardware walizonazo.. lakini Pixel ni simu...
 
Pixel 8 pro itakuwa imeshuka sana kama sio laki 9 i don't know.
 
Google Pixel 8 Pro ukiagiza AliExpress bei inaanzia TSh 2,200,000/=
Ila ukinunua Tanzania bei inaanzia TSh 2,500,000/=, wengine wanauza hadi milioni 3 kwa version za 512GB na 1TB


Google Pixel 8 (plain) AliExpress inauzwa around TSh 1,600,000/=
Nikiweka vpn naingia oprion ipi kupata read aloud hio
 
Back
Top Bottom