Google Pixel 8 Pro iko vizuri kuliko nilivyodhania

Labda kama hauelewi ninachokimaanisha,
Umewahi Kuta iphone clone Ina OS ya iOS ? Na ni kwanini ?

Apple Wana namna Yao yakuoptimize simu zao, threading ya iphone huwezi fananisha na android, ukitenegeneza clone ya iphone ukaweka iOS itakuwa na lagging za kutosha.

Afu marketing strategy ya iphone hajatarget maskini, ndiomana huwezi Kuta matangazo ya iphone kiholela kama brand nyingine.
Maybe Kuna situation hujakutana nazo ambazo utaona android inafail vipi kwenye smoothness/responsiveness, angekuepo Jobs Leo hata iphone 12 ingekuwa Bado haijatoka.
 
Haujawahi tumia iphone
Na kama umewahi kuitumia basi ni x kushuka chini[emoji23][emoji23][emoji23]
Hujawahi kutumia iphone ni argument ya kipumbavu. Wewe sio mke wangu kujua kama nimewahi kutumia ama lah. Wewe jenga hoja ya kueleweka, kuwahi kutumia ama kutokutumia sio hoja.

Kwa akili zako za kipumbavu unaamini yoyote anaeiponda Iphone basi hawajawi kuitumia, zero brain kabisa.
 
Kweli lisemwalo lipo hata mimi nlikuwa nataka kuijaribu hata kama haina processor za dimensity 9300, snapdragon 8 gen 3 na A17 pro hata kama tensor g3 kwenye review ipo namba 13 kwa ubora ila simu ni ya moto sana, msema ukweli mpenz wa Mungu au nasema uwongo ndugu zangu
 
Katika simu Magumashi ni Iphone.

Ni siku overated sana. Ila ni jambo la muda tu watu watakuja kugundua walikua wanauziwa ugali utumbo kwa bei ya pilau kuku wa kienyeji.
Kwanini unasema overated mkuu ? Mkuu leta maneno ?
 
Mkuu lakini its not always that the higher a camera's megapixel count the better. Kitu pekee more megapixels will give you is the ability to enlarge and crop pictures without individual pixels becoming visible. Other factors are much more important in determining overall picture quality, au nasema uwongo mkuu sababu nikiangalia simu nyingi za tecno megapixel hadi 100 zinafika ila picha yake hata ya iphone X haifikii, alafu kingine kilichofanya apple waongeze Ram ya simu zao ni kwasababu ya kuongeza megapixel sababu megapixel kubwa huwa inahitaji high processing speed lakin ukilitoa hilo moja ya processor kali kabisa za mobile device ni A17 pro anapitwa na snapdragon 8 gen 3 na anaengoza ni dimensity 9300 ambayo ipo kwenye simu kama Sony Xperia PRO-I XQ-BE72 ambayo market price yake ni kama 5M na Na oppo find X5 pro, so mkuu usibeze moja kwa moja hiyo A17 pro ni nomaa
 
Pixel anakuja mbio sana, miaka 7 tu sokoni ila anakimbizana na wakongwe kwa wingi wa matoleo.
 
Pixel anakuja mbio sana, miaka 7 tu sokoni ila anakimbizana na wakongwe kwa wingi wa matoleo.
Zipo vizuri ukipata mpya. Sasa watu wananunua used wanaishia kulalamika. Ni simu Moja matata sana Haina mambo mengi
 
Zipo vizuri ukipata mpya. Sasa watu wananunua used wanaishia kulalamika. Ni simu Moja matata sana Haina mambo mengi
Ni kweli unachosema
Unapenda ku appreciate vitu vizuri ila kwa nini huwa unaponda sana Chinese phones, hata zije na hardware nzuri kiasi gani we unazionaga takataka tu
Ila Pixel wakijivuta vuta hata kidogo unamwaga sifa tele [emoji848]
 
Itabidi niitafute hii simu
 
Hahahaa wakati hii feature ya ku copy maneno au contents zozote kwenye picha unaipata hadi kwa Pixel 3A, iPhone wajanja janja sana..
 
Wamarekani hawauzi product wale wanauza brand tu iPHONE na PIXEL zinafanyiwa finishing za kibabe na kuvutia ili ziuze brand na kuongeza bei ya hisa kwenye makampuni yao infact kwenye iPHONE ukiangalia general upgrade kati ya toleo moja na lingine ni almost zero impact yaani hakuna maajabu ila lazima atengeneze na kuuza simu kila mwaka ili brand yake isishuke na hisa za kampuni zipande bei kwa kifupi wale wako kibiashara zaidi.

Itoshe kusema kwamba bidhaa yoyote ya mmarekani ni wizi wizi na ujanja ujanja mwingi sijui hizo iPHONE na PIXEL mnazozisifia nini wakati zote ni ushamba. Hata HUAWEI kampiga gap kubwa sana iPHONE kwenye performance na PIXEL imekuja kutetea nafasi ya iPHONE kwenye technology ya simu za marekani kusoma hamsomi hata picha hamuoni huko china sasa hivi iPHONE hazina soko tena yaani mauzo yameporoka balaa wachina wameshaignore iPHONE sasa hivi ni mwendo wa HUAWEI tu.

Ukizungumzia simu unazungumzia SAMSUNG na SONY miaka elfu moja hizi ndio simu bora za muda wote kwenye kila kitu kuanzia performance, design, durability, battery hadi camera yaani kila kitu ukikosa kitu kimoja kwenye SAMSUNG utakipata kwenye SONY and vice versa.
 
Mkuu wametoa pixel 9, 9pro na 9pro xl
Naomba review yako
Cc Chief-Mkwawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…