Google Translate ina Kiswahili kibovu

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Mara nyingi nimekuwa natumia Google Translate kupata maana halisi ya maneno ya Kiingereza kwa Kiswahili wanajitahidi kidogo kwa neno moja moja.

Lakini tatizo lao kubwa sentensi ikiwa ndefu kuibadili kuja kwenye Kiswahili wanakwama ni ngumu kupata maana halisi Kiswahili chao cha kuunga unga sana ambacho hakileti maana.

Watu wanaohusika na lugha ya Kiswahili wajaribu kufuatilia na kufanyia kazi.
 
Anza wewe mwenyewe, wanaotafsiri google individuls kama mimi na wewe, Tatizo Wakenya na kiswahili chao kibovu ndo wanaandika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…