Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Mara nyingi nimekuwa natumia Google Translate kupata maana halisi ya maneno ya Kiingereza kwa Kiswahili wanajitahidi kidogo kwa neno moja moja.
Lakini tatizo lao kubwa sentensi ikiwa ndefu kuibadili kuja kwenye Kiswahili wanakwama ni ngumu kupata maana halisi Kiswahili chao cha kuunga unga sana ambacho hakileti maana.
Watu wanaohusika na lugha ya Kiswahili wajaribu kufuatilia na kufanyia kazi.