Idiot Embicile
JF-Expert Member
- Apr 30, 2019
- 1,037
- 1,974
Google umenisaidia sana kunipatia elimu juu ya mambo mengi, ila kwa leo sina budi kukushusha vyeo.
Leo nilitaka kuanzisha ugomvi, In fact kuna mtu amenizingua kwa muda mrefu. Hivyo nilikuwa natamani ajichanganye siku moja nianzishe ugomvi mkubwa, ambao hata rais asingeweza kuutuliza.
Kama nilivyokuwa nawaza leo jamaa akajichanganya, akanitukana kwa kiingereza. Moyoni nikasema "hapahapa" nikawaza lakini kabla sijaanzisha ugomvi ngoja nitafute maana ya halisi ya hilo tusi
ili hata ikitokea nimevunja mtu mguu basi iwe sababu ya tusi lenye uzito.
Kuangalia maana google kumbe ni tusi simple tu, hadi mood ilikata.
Google leo umeniangusha sana, si ungeliongezea uzito tusi hata kidogo tu, ili nimtoe mtu meno.
Sent using Jamii Forums mobile app