Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Mhhhh! Shosti unavyotuchukiaaa! hivi unakumbuka alichukua Picha za Mamiss Tanzania kwa Mange na kwenda kupaka kwenye Blog yake eti Wanawake wa TZ na Nigeria wapi wazuri ?? acha watuseme Ndio kajiugomvi kalipotokea Jamani ...Mnyonge Mnyongeni lol !
Kwa hilo alichemka huyo Linda kwa uzuri hawatufikii hata robo