Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau "Ni kinachofanya Wakenya kuwa wezi"> Wanaibia mpaka maiti.
Hahaha please..... Usitumalize......please...Kitu ambacho nimekuja kugundua, Wakenya wanapenda sana Twitter, kwasababu Twitter unaweza kujenga picha kwamba wewe unauwezo mkubwa sana, na unaweza kwenda mpaka sayari nyingine, lakini kiuhalisia, wewe ni mtu wa chini, na unamaisha magumu ya Choka Mbaya.
Wakati Watanzania, wao wanapenda instagram kwasababu, lazima uweke vielelezo au picha kuthibitisha unacho kusema. Japo hata instagram unaweza kujenga picha ya uwongo, lakini watanzania wengi hawajali kujionyesha maisha yao hata kama wako Choka Mbaya.
I would advise you read my comment again, and this time slowly, you might realise we're talking two separate things.Hahaha please..... Usitumalize......please...
Ni watu wangapi wamejifanya hivyo on twitter? Hebu tuangalie on another perspective.... Twitter, disseminates information and content, you can share links, tweets to others.... Kitu kibaya kikifanyika ujerumani sahii, utakimbilia twitter.... Kama Kuna braking news ya protest Egypt, utakimbilia twitter.... Na unapata news feed minute by minute....... Tena wats best on twitter is that you can tailer it to get only the info you want, you can follow only those you are interested in.... Its only on twitter that people have a voice that when directed at the right place with the right intentions, people can bring change, look at how the south Koreans were able to make their president be impeached by parliament, twitter rallied people to show up and protest, and they shared live tweets ang encouraged others to come and not leave......... Look at how many corruption scandles have been exposed in Kenya and the twitter force has led to the govt bieng pressured to take action..... Kitambo ilikua kukiwa Na chochite utakiskia jioni kwa radio,tv ama kwa habari... Lakini sasa, kila mwenye account kwa twitter Ana uwezo wa kuwa mwanahabari......
On the other hand, instagram is just a picture sharing feed...... No content whatsoever, so what happens when you give that to a society? You create a self-loathing and superficial generation, where the cool one s the one with the nice photo.... People only care about how they look and where they went, no one cares what's on their mind....mnakua watu wa kuringuana Tu, self filtering your photos and blurring the background so you can be the center of attention..
So your whole point is on how Kenyans might use it to pretend? That a very shallow thinking... No wonder wengi wenu mnajazana IG, 140 characters to pass a msg too hardI would advise you read my comment again, and this time slowly, you might realise we're talking two separate things.
I didn't question the importance of twitter, I didn't question the purpose of Instagram either. (Oh btw, you can comment, share whistleblowing on Instagram too, just ask Tanzanians, they will show what is all about, I mean Really Show You).
Kwenye Twitter ni rahisi kujificha nyuma ya pazia while you send a tweet or comment, wakati ukiwa kwenye instagram itabidi uonyeshe kielelezo cha story yako. So wakenya kwenye Twitter wanaweza kujisifia sana bila kujali kuonyesha hali yao halisi. Meanwhile, on Instagram, you mighty need to show something to be relevant.
A Kenya will complain on Twitter, ...."Too much traffic, the minister should resign". Yeye mwenyewe hana hata baiskeli. SMHSo your whole point is on how Kenyans might use it to pretend? That a very shallow thinking... No wonder wengi wenu mnajazana IG, 140 characters to pass a msg too hard
At the same time the insta chics will be using that time to post selfies of how their nails look cute on the steering wheels.... (ever wondered why instagram has more active women than men),A Kenya will complain on Twitter, ...."Too much traffic, the minister should resign". Yeye mwenyewe hana hata baiskeli. SMH
Aibu aibu aibuMmmh!..aisee!...ahsante kwa kutu mindy kichizi!...pata bonge la like!😀
Povu LA nini mk 254Hehehe!! Jinsi ya kucheza vigodoro au singeli...
Jinsi ya kutumia VPN!leta na ya watanzania tuone
lets be honest. Twitter is used for sharing information and ideas. instagram on the other hand is for the socialites of this world. you can always judge a person or even a society by which one he/it prefers. the Arab spring didn't happen on instagram did it?A Kenya will complain on Twitter, ...."Too much traffic, the minister should resign". Yeye mwenyewe hana hata baiskeli. SMH
It could've happen if they where live and popular then. With tech, nothing is parment. Snapchat is biting a big chunk of generation Y from facebook and Twitter combine.lets be honest. Twitter is used for sharing information and ideas. instagram on the other hand is for the socialites of this world. you can always judge a person or even a society by which one he/it prefers. the Arab spring didn't happen on instagram did it?
Jinsi ya kutumia VPN!
lets be honest. Twitter is used for sharing information and ideas. instagram on the other hand is for the socialites of this world. you can always judge a person or even a society by which one he/it prefers. the Arab spring didn't happen on instagram did it?
Hivi unaelewa nini maana ya utani? To you is all about money money and more money. Mmm kazi
Btw Ethiopia is a closed knit country, hata USA can't get its nose in their economy.
Umesahau "Ni kinachofanya Wakenya kuwa wezi"> Wanaibia mpaka maiti.
Nakubaliana na wewe kitu kimoja kwamba wamarekani wana mbinu nyingi, lakini na wao wakijaribu kuji penyesha kwenye nchi iliyozowea kujitawala na kujifichia siri zao kama Ethiopia, wata baki na nini? Another Iraq? Kufanikiwa lazima upate support ya local, kama local ndio wamesha nyeshwa maji ya kugoma si ndio utajikuta kama una anzisha Iraq, Yemen na Syria ndani ya Afrika.Marekani ana uwezo wa kuwagaragaza tu akiwa na nia, kuna mbinu lukuki hata hujma tu yatosha, anamtumia mhabeshi kama askari kanzu wake kwenye guba la Adeni.
Nakubaliana na wewe kitu kimoja kwamba wamarekani wana mbinu nyingi, lakini na wao wakijaribu kuji penyesha kwenye nchi iliyozowea kujitawala na kujifichia siri zao kama Ethiopia, wata baki na nini? Another Iraq? Kufanikiwa lazima upate support ya local, kama local ndio wamesha nyeshwa maji ya kugoma si ndio utajikuta kama una anzisha Iraq, Yemen na Syria ndani ya Afrika.