Gor mahia iko hoi bin taaban kifedha baada ya Sportpesa kusitisha udhamini

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Timu ya Gormahia ipo katika ukata mkali (njaa kali km Somalia),na kuna hati hati ya kushindwa kusafiri kwenda Algeria kuvaana na Usm Alger kucheza mechi ya club bingwa kutokana na kukosa pesa kwa ajili ya ticket za kurudia. Nawashauri waanzishe bakuli km sisi kiroho safi maana hamna namna sasa. Chanzo KBC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…