Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Timu ya Gormahia ipo katika ukata mkali (njaa kali km Somalia),na kuna hati hati ya kushindwa kusafiri kwenda Algeria kuvaana na Usm Alger kucheza mechi ya club bingwa kutokana na kukosa pesa kwa ajili ya ticket za kurudia. Nawashauri waanzishe bakuli km sisi kiroho safi maana hamna namna sasa. Chanzo KBC.