Latimore Mimo wangeci
JF-Expert Member
- Feb 1, 2019
- 898
- 1,081
Haha 4-2 hio si bahati bro,hio si 1-0 ndo huseme ni bahati,kubali tu Gor si wachachemmebahatisha
jidanganye ivyoMmebahatisha tu, umeona jana tim yetu ya simba imepigwa 5 na Al ahly!! Ninyi mngepigwa hata 10
Kwa ngazi za vilabu Tanzania time zetu ni Giant Africa mashariki tusijizarau kujilinganisha na wakenyaWasiowapongezA Gor mahia wana vimelea vya mavi kwenye bongo zao
Kenya wako serios kwa mambo mengi tukiachilia mbali na asili yao ya ubinafsi kwa hayo mambo
Ila tuwapongeze kwa kazi nzuri kogalo wamefanya
Kwa upumbavu wa kutiwa goli 10 dk 180?Kwa ngazi za vilabu Tanzania time zetu ni Giant Africa mashariki tusijizarau kujilinganisha na wakenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna timu ya ukanda wa Africa mashariki IPO makundi klabu bingwa Africa?Kwa upumbavu wa kutiwa goli 10 dk 180?
Hayo matokeo subiri wakija Dar es salaam tutaulizanaKwa upumbavu wa kutiwa goli 10 dk 180?
Hata simba alianza kama ninyi tu, mwisho wake nadhani mneshuhudiaTume chapa zamaleek 4-2 hio ni ka 2-0 munaona ni home advantage ama Gor iko tu fiti,ama tukienda kwao wata revenge
Sent using Jamii Forums mobile app
What do you mean by asili ya kibinafsiWasiowapongezA Gor mahia wana vimelea vya mavi kwenye bongo zao
Kenya wako serios kwa mambo mengi tukiachilia mbali na asili yao ya ubinafsi kwa hayo mambo
Ila tuwapongeze kwa kazi nzuri kogalo wamefanya
We dont watch Tz football here,nilijua simba juzi ile time sijui walikuwa na game sijui na.kariobangi sharksHata simba alianza kama ninyi tu, mwisho wake nadhani mneshuhudia
Sent using Jamii Forums mobile app
FYIWe dont watch Tz football here,nilijua simba juzi ile time sijui walikuwa na game sijui na.kariobangi sharks
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh away games huwa tricky sanaFYI
Simba alimlamba mu Algeria 3 goals in Dsm, hivyo hata ninyi ni hatua nzuri lakini kuweni waangalifu away games.
Kudos
Sent using Jamii Forums mobile app