Gor mahia Vs Zamalek

Gor mahia Vs Zamalek

Mmebahatisha tu, umeona jana tim yetu ya simba imepigwa 5 na Al ahly!! Ninyi mngepigwa hata 10
 
WasiowapongezA Gor mahia wana vimelea vya mavi kwenye bongo zao
Kenya wako serios kwa mambo mengi tukiachilia mbali na asili yao ya ubinafsi kwa hayo mambo

Ila tuwapongeze kwa kazi nzuri kogalo wamefanya
 
Kwa ngazi za vilabu Tanzania time zetu ni Giant Africa mashariki tusijizarau kujilinganisha na wakenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom