Pamoja na hayo, lakini tuwe wakweli mwamba amejitahidi aisee. Mpaka hapo tu mtu utavutiwa utamfuata maana ameweka namba za simu hapo! Hharyson, hongera aisee kako vizuri. Hayo mengine wanayoshauri wadau utayafanyiakazi usiwe mkali! Kamenivutia, ila sasa sisi kwa umri wetu huu si utakafaidi kwa miaka michache tu kabla hujawaachia madogo?Your office seriously need a marketing officer
Kwa nini? Magoti yalishagoma?😁😁😁😂😂😂Napenda gorofa yenye master chini.
Fainali uzeeni 😅😅😅Kwa nini? Magoti yalishagoma?😁😁😁😂😂😂