Gosby atoka na Wema Sepetu Balaa

Bado Niponipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2008
Posts
680
Reaction score
168
Rapper Gosby ametoa wimbo - Wema Sepetu, amechana sana huko ndani, naomba kama kuna mtu anayo hiyo ngoma atuwekee ili tuweze kuisikiliza vizuri, mimi nimeisikia redioni leo mchana... Diamond kapewa mtihani...
 
nimeusikia pia mwishoni mwishoni clouds xxl, wimbo mzuri, lakini sijui anamponda madam au anamsifia...kama trap music hivi, ngoja nicheck kwa djchoka niwawekee hapa..
 
Nimekuja mbio nikajua ndio mpenzi mpya kumbe kamuimba tu?
 
Anatafuta kiki u know nyimbo yake i hit
 
Katika watu wenye vipaji Gosby mmoja wapo, nyimbo zake nzuri sauti haichoshi/haikeri kusikiliza.
 
Me ngoma yng kali kwa ss ni NISHAURI ya Mabeste hatari!!!!!
Ngoma inagusa,kama hupendi Hip hop nenda kwa mwanadaresalamu!
 
Mi namjua kama muimbaji anayehangaika kutoka, sio wa hivyo.
Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…