Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Mi namjua kama muimbaji anayehangaika kutoka, sio wa hivyo.
Ova
Ila ile nyimbo yake ya everyday nzuri jamani...naikubali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi namjua kama muimbaji anayehangaika kutoka, sio wa hivyo.
Ova
Rapper Gosby ametoa wimbo - Wema Sepetu, amechana sana huko ndani, naomba kama kuna mtu anayo hiyo ngoma atuwekee ili tuweze kuisikiliza vizuri, mimi nimeisikia redioni leo mchana... Diamond kapewa mtihani...
Anabaniwa na nani?? Atoe pesa apate airtime.
yule n msanii wa kumckiliza getto na co biashara
huo wmbo wak utaish km wik mojà kwny media dn unadisappear
mkono mtupu haulambwi
Wema naye na vijibwana Vya AJABU AJABU ....Vya shombo ...ajifunze kwa Klyn ....hakui? Those are foolish age dramas
rotation inapt statn gn???
jamaa hafany promo za ngoma zake
na ukitaj wasanii wanaopat airtm gosby hàyupo????
Sidhani kama ametoka na madam, lakini habari nilizonazo alikuwa anamsasambua Vanessa
Umegeuka le mutuz?
Kifupi, tuelewe kwamba mmesoma wote, au sio?
Mi kila nikimuona Baghdad namsahau mpaka liandikwe jina ndio nagutuka, hivi katumia nini mpaka kapungua hivyoo kuna jiran yetu huku ana tumbo kama kameza watu wawilii
Alisema mama ake alimtafutia dawa kwa mwezi alikua anapungua kilo 15..
Dawa gani hiyoo tunataka na sie huku watu wapunguee