Labda ukamsearch fb then atakuelekeza na inavoonekana itakua ya mbelembele maana mtu mwenyewe wa kishua kweli so jipange incase ikiwa bei kubwa uweze kumudu.
Acha fix kwa tunaomfahamu gosby anatoka na Cindy Rulz dem mkali na msanii pia..Vanessa ana blendiana na Ellen De generes wa bongo..hizo rumours sijui Millard sijui gosby ni danganya Toto tu! Salam ziwafikie warumi na wambea wote wa Jf cc Dinazarde