nimahussein
Senior Member
- Sep 17, 2013
- 181
- 27
Wadau wenyewe uelewa hivi kuajiriwa serikalini na sekta binafsi wapi kuna maslahi zaidi..na ukishastaafu kama unafanya sekta binafsi kuna kiinua mgongo au hupati kitu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Government is better than private
mkuu unaweza kunipa sababu,maana nasikia sekta binafsi ndio kuna mshahara mzuri
oky
serikalini ufanyakazi wake hauna command sana ukilinganishwa na sekta binafsi
private sekta kazi yakoinakua rehani muda wowote
eg kampuni ikifilisika ndo mwisho wa ajira yako
lakini Government hakuna kitu kama hicho