Goverment+ private

Goverment+ private

nimahussein

Senior Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
181
Reaction score
27
Wadau wenyewe uelewa hivi kuajiriwa serikalini na sekta binafsi wapi kuna maslahi zaidi..na ukishastaafu kama unafanya sekta binafsi kuna kiinua mgongo au hupati kitu..
 
mkuu unaweza kunipa sababu,maana nasikia sekta binafsi ndio kuna mshahara mzuri

oky
serikalini ufanyakazi wake hauna command sana ukilinganishwa na sekta binafsi

private sekta kazi yakoinakua rehani muda wowote
eg kampuni ikifilisika ndo mwisho wa ajira yako
lakini Government hakuna kitu kama hicho
 
thanx kaka nimekupata hapo,lakini tatizo la serikalini unaweza kuvunda sometimes hufanyi kazi ya taaluma yako,lakini tutapapatua huko huko
 
Back
Top Bottom