Tofauti ya nchi za Afrika ni ipi inachukua mikopo zaidi. Ethiopia inakopa sana na bila shaka haiwezi kulipa madeni yote. Kukopa na kujenga miundombinu kila nchi inaweza.I also think Tanzania did rush to make the wrong decision...Light Rail is way better than BRT...i wonder how Ethiopia did both the Light rail and SGR at the same time
why should we be jealous of UG, clearly, we are way ahead of all other East African countries.Nyang'au kwa wivu as if hamna plan za light train Dar
I remember.. I think ata ni prezzo ali announce and then the ambassador of that country also made a statement...hehe what a country we live in...but am sure Uhunye will bring one soon...We went and signed a contract with Romania last year construction was set to begin in June 2016 [emoji23][emoji23][emoji23] ni 2017 bado nangoja News za LRT Bucuresti hakuna pesa
Ninauhakika hujawahi tembelea nchi zingine EA. Unaona tu kwenye mitandao.why should we be jealous of UG, clearly, we are way ahead of all other East African countries.
Ninauhakika hujawahi tembelea nchi zingine EA. Unaona tu kwenye mitandao.
Nikwambie kitu. Even to explore dar es salaam it will take you 10 years.Anneal, wakenya usiwachezee, wanaweza jua mtaa wako hata zaidi ya wewe mwenyewe. Like it is only Tanzania I have not explored. Uganda, I have been to literally every part of it, to the northern parts of the Karamoja. Am looking forward to exploring Tanzania inch by inch!! Been to Dar only once using Holili - Moshi - Morogoro- Dar! When i was Living in Namanga, i went to Longido (If i have spelt it right) then to Arusha. Many Southern Kajiado Schools make trips to Arusha.
By the way, i saw a mountain near Longido and it had a very bad name, Mlima Matako, Yaani you guys can not have a sane name to a mountain??
Actually the light rail is in pipeline.. just dig deeper you will see..When our brt started I truly thought light rail was the way to go. Saivi it's clear we will Never see light rail in Dar What a waste! Anyway we've instead settled cofortably with the shoes that fit. Mwakyembe!
Nikwambie kitu. Even to explore dar es salaam it will take you 10 years.
Wewe unaongelea issue ukiwa kwenye basi mnaulizana abiria na kujibishana.
Yaan inch by inch Tanzania my foot. You need to invest millions of dollars at least to pass through roads region to region.
First of all Tanzania is bigger than Kenya + Uganda + Rwanda + Burundi.
Dar es salaam inaizidi Nairobi zaidi ya mara tatu. You need to combine 4 Nairobis to be Dar es salaam.
Bara bara zilizopo Dar es salaam zikiwekwa Nairobi mtakuwa na barabara kila kona. Majengo yaliyopo dar es salaam yakiwekwa Nairobi patakosekana pa kukanyaga.
Tanzania kuna lifestyle tofauti tofauti. Kuna experiences za kila namna.
Tanzania ipo na makabila zaidi ya 130. Huku kenya makabila hayafikii hata 45.
Eneo kubwa la Tanzania ni open, mapori mengi, mbuga za wanyama nyingi, mito kibao, milima ya kumwaga.
Wewe umepita hapo longido ndio ukafikiri umeijuaaaa tanzania. Longido ni kasehemu kadooooooooogo tanzania.
Kwa kifupi nakuambia huwezi kuimaliza Tanzania you need lot of money kwa sehemu ndogo tu.
Tanzania ipo katika pande mbili. Kuna Tanzania visiwani na kuna tanzania bara.
Tanzania imegawanywa katika regions au kwa kiswahili tunasema mikoa. Kutoka kwenye mikoa Wilaya (districts) Tarafa kisha Kata baadae kijiji, baadae Kitongoji na mwisho Nyumba kumi kumi.
Ukifika kwenye kijiji lazima ujulikane umeenda kufanya nini.
Ndugu usione Tanzania inaelea imeundwa.
Naendelea kukupa somo. Tanzania imegawanyika katika Geographical zones.Anneal, wakenya usiwachezee, wanaweza jua mtaa wako hata zaidi ya wewe mwenyewe. Like it is only Tanzania I have not explored. Uganda, I have been to literally every part of it, to the northern parts of the Karamoja. Am looking forward to exploring Tanzania inch by inch!! Been to Dar only once using Holili - Moshi - Morogoro- Dar! When i was Living in Namanga, i went to Longido (If i have spelt it right) then to Arusha. Many Southern Kajiado Schools make trips to Arusha.
By the way, i saw a mountain near Longido and it had a very bad name, Mlima Matako, Yaani you guys can not have a sane name to a mountain??
Nadhani Taarifa yako haipo balanced maana data za Tanzania ni za 2010 wakati data za Kenya ni za 2013Mimi sijasema naifahamu Tanzania, Nilianza na kusema, ndio nataka kuexplore, but i told you nimepafika hiyo miji nimesema. Ile siku nakuja kutembea nitakuambia.
Pili usiwe mtu wa kumwaga maneno hivi hivi, Tanzania ni Kubwa kuliko EA eliyobaki ukitoa Tanzania ila, hamna kitu cha kujifahari nacho. Mfano barabara,
Tanzania
total: 86,472 km
paved: 7,092 km
unpaved: 79,380 km
Kenya
total: 160,878 km
paved: 11,189 km
unpaved: 149,689 km
note: includes 99 km of urban and other roads
The World Factbook — Central Intelligence Agency
Nakupa Taarifa hii hapa ndogo uisomeMimi sijasema naifahamu Tanzania, Nilianza na kusema, ndio nataka kuexplore, but i told you nimepafika hiyo miji nimesema. Ile siku nakuja kutembea nitakuambia.
Pili usiwe mtu wa kumwaga maneno hivi hivi, Tanzania ni Kubwa kuliko EA eliyobaki ukitoa Tanzania ila, hamna kitu cha kujifahari nacho. Mfano barabara,
Tanzania
total: 86,472 km
paved: 7,092 km
unpaved: 79,380 km
Kenya
total: 160,878 km
paved: 11,189 km
unpaved: 149,689 km
note: includes 99 km of urban and other roads
The World Factbook — Central Intelligence Agency
Taarifa hiyo yote kwenye Kiswahili unataka nisome aje?? Nachoka na aya ya tatu, siuweke taarifa hizi kwenye Kiingereza??Nakupa Taarifa hii hapa ndogo uisome
HATIMAYE Serikali imekalimisha ujenzi wa Barabara ya Kusini yenye urefu wa kilomita 504, ambayo kwa miaka na miaka imekuwa kero kubwa kwa wananchi wa mikoa minne, kufuatia kuzinduliwa kwa kipande cha kilomita 60 cha kati ya Ndundu na Somanga katika sherehe iliyofanyika , Ijumaa, Agosti 7, 2015.
Aidha, kuzinduliwa kwa kipande hicho cha barabara kumeiwezesha Serikali ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete kukamilisha ujenzi wa miradi 13 mikubwa katika Ukanda wa Maendeleo wa Mtwara (Mtwara Development Corridor).
Vile vile, kwa kukamilisha kipande hicho cha barabara ambayo ni sehemu ya Barabara Kuu ya Dar es Salaam-Kibiti-Lindi hadi Mingoyo, kunaifanya Serikali ya Awamu ya Nne kutumia kiasi cha shilingi trilioni tisa katika miaka 10 ya uongozi wa Rais Kikwete.
Kilomita 60 za Ndundu-Somanga ni sehemu pekee iliyokuwa imebakia katika kukamilisha ujenzi, kwa kiwango cha lami, barabara kuu iendayo mikoa ya kusini ambayo kabla na baada ya uhuru imekuwa kero kwa wananchi wa Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara.
Sherehe ya uzinduzi wa kipande hicho cha barabara umefanywa na Rais Kikwete katika eneo la Marendego, Wilaya ya Kilwa, mpakani kwa mikoa ya Pwani na Kilwa na kuhudhuriwa na mamia ya wananchi wakiwemo mawaziri na Naibu Mawaziri sita akiwemo Waziri wa Ujenzi John Pombe Joseph Magufuli.
Akizungumza katika sherehe hiyo kabla ya kumkaribisha Rais Kikwete kuzindua barabara hiyo, Waziri Magufuli amesema kuwa chini ya uongozi wa Rais Kikwete,miradi 13 mikubwa ya barabara imetekelezwa na inaendelea kutekelezwa katika Ukanda wa Maendeleo wa Mtwara ambao unaunganisha nchi za Tanzania, Malawi na Mozambique.
Waziri Magufuli ameitaja miradi hiyo kuwa ni ujenzi wa Daraja la Umoja ambao umekamilika, ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Songea-Namtumbo yenye kilomita 72 ambao umekamilika, ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Peramiho Junction-Mbinga yenye kilomita 78 ambao umekamilika na upembuzi yakinifu na usanifu wa kina kwa ajili ya ukarabati wa barabara ya Mtwara-Mingoyo-Masasi yenye urefu wa kilomita 200 ambao umekamilika na ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Masasi-Mangaka yenye kilomita 54 ambao umekamilika.
Miradi mingine ni ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Mangaka-Mtambaswala yenye kilomita 65.5 ambao unaendelea, ujenzi wa kiwango cha lami wa barabara ya Mangaka-Nakapanya wenye kilomita 70.5 ambao unaendelea, ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Nakapanya-Tunduru wenye urefu wa kilomita 66.5 ambao unaendelea, ujenzi kwa kiwango cha lami wa sehemu ya Tunduru-Matemanga yenye kilomita 58.7 ambao unaendelea na ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Matemanga-Kilimasera yenye urefu wa kilomita 68.2 ambao unaendelea.
Waziri Magufuli ameitaja miradi mingine kuwa ni ujenzi wa kiwango cha lami wa barabara ya Kilimasera-Namtumbo wenye kilomita 60.7 ambao unaendelea, upembuzi yakinifu wa barabara ya Mtwara-Newala-Masasi yenye kilomita 221 ambao umekamilika na tenda tayari imetangazwa kwa ajili ya ujenzi kwa kiwango cha lami cha sehemu ya Mtwara-Mnivata yenye kilomita 50, maandalizi ya nyaraka ya zabuni kwa ajili ya ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Mbinga-Mbamba Bay wenye kilomita 66 ambao unagharimiwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB).
Waziri Magufuli amesema kuwa miradi hiyo na mingine mingi ya ujenzi ambayo imejengwa na inaendelea kujengwa wakati wa uongozi wa Rais Kikwete imegharimu kiasi cha sh. trilioni tisa, ambacho ni kiwango kikubwa kuliko vyote vilivyopata kutumika kwa miradi ya ujenzi katika muongo mmoja katika historia ya Tanzania.
Waziri Magufuli amesema kuwa miradi hiyo ni pamoja na madaraja makubwa 12 ambao yamejengwa na kukamilika katika kipindi hicho ambayo ni Rusumo (Kagera), Umoja (Mtwara), Mwanhuzi (Simiyu), Kikwete (Kigoma), Nangoo(Mtwara), Ruhekei (Ruvuma), Mbutu (Tabora), Mwatisi (Morogoro), Ruvu (Pwani),(Nanganga (Mtwara), Maligisu (Mwanza) na daraja la waendao kwa miguu la Mabatini (Mwanza).
Waziri Magufuli pia amesema kuwa jumla ya madaraja mengine madogo zaidi ya 7,200 yamejengwa na kukamilika na madaraja mengine makubwa saba yapo katika hatua mbali mbali za ujenzi ambayo ni Kigamboni (Dar es Salaam), Kilombero (Morogoro), Kavuu (Katavi), Sibiti (Singida), Ruvu Chini (Pwani), Lukuledi 11 (Mtwara) na Kolo (Dodoma).
Amesema kuwa madaraja mengine makubwa ambayo yako katika maandalizi ya kujengwa ni Momba, Mwiti, Simiyu, Wami, Ruhuhu, Daraja jipya la Salendar, Daraja jipya la Wami Chini, Pangani,na daraja la wandeao kwa miguu la Furahisha.
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tovuti Rasmi ya Rais
Which means you've doubled our debt.Taarifa hiyo yote kwenye Kiswahili unataka nisome aje?? Nachoka na aya ya tatu, siuweke taarifa hizi kwenye Kiingereza??
Ok sawa, lakini ujue, Kenya imejenga barabara zaidi ya zile ilijenga tangu uhuru hadi 2013. Tangu 2013 nearly 10,000 have been built. So currently we have doubled your paved roads.
Sasa kama hujui kiswahili si uende ukaishi uingereza na uwe unaongea kingereza tu.Taarifa hiyo yote kwenye Kiswahili unataka nisome aje?? Nachoka na aya ya tatu, siuweke taarifa hizi kwenye Kiingereza??
Ok sawa, lakini ujue, Kenya imejenga barabara zaidi ya zile ilijenga tangu uhuru hadi 2013. Tangu 2013 nearly 10,000 have been built. So currently we have doubled your paved roads.
Cos tanzania has no debt?....unathani you are soo special?Which means you've doubled our debt.
Unatumia chang'aa nini? Wapi nimeandika hicho unachokisema?Cos tanzania has no debt?....unathani you are soo special?