Governor wa Mombasa kumleta Nicki Minaj baada ya Chris Brown

Mtanzania Mkenya

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
238
Reaction score
387
Inavyoonekana kaunti 001, au ukipenda kaunti ya Mombasa inatarajiwa kupata masupastaa mpwito mpwito mwaka huu.

Baada ya kumleta Chris Brown Mombasa, Gavana wa Mombasa, Gavana 001, almaarufu Sultan au ukipenda Ali Hassan Joho aliwapa ahadi mashabiki waliohudhuria tamasha la [HASHTAG]#MombasaRocks[/HASHTAG], kuwa atamleta Nicki Minaj kuperform Mombasa.

Chini ya ministry ya Tourism, kaunti ya Mombasa imekuwa mstari wa mbele kukuza jina lake kupitia matamasha mbalimbali yanayoandaliwa ili kuipa sifa kaunti hii kwenye sekta ya Utalii.
Hivyo basi, wapenzi wa Nicki Minaj kaeni tayari.



 


meek mill anafaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…