Governor wa Mombasa kumleta Nicki Minaj baada ya Chris Brown

Governor wa Mombasa kumleta Nicki Minaj baada ya Chris Brown

Inavyoonekana kaunti 001, au ukipenda kaunti ya Mombasa inatarajiwa kupata masupastaa mpwito mpwito mwaka huu.

Baada ya kumleta Chris Brown Mombasa, Gavana wa Mombasa, Gavana 001, almaarufu Sultan au ukipenda Ali Hassan Joho aliwapa ahadi mashabiki waliohudhuria tamasha la [HASHTAG]#MombasaRocks[/HASHTAG], kuwa atamleta Nicki Minaj kuperform Mombasa.

Chini ya ministry ya Tourism, kaunti ya Mombasa imekuwa mstari wa mbele kukuza jina lake kupitia matamasha mbalimbali yanayoandaliwa ili kuipa sifa kaunti hii kwenye sekta ya Utalii.
Hivyo basi, wapenzi wa Nicki Minaj kaeni tayari.

98abe251121aaf333c83a8e511f8d926.jpg


246ec9b0ee3834734fd63f2c2525bd98.jpg


Swali langu ni kwamba wanatumia shilingi za walipa kodi kuwaleta hawa Wanamuziki?
 
Swali langu ni kwamba wanatumia shilingi za walipa kodi kuwaleta hawa Wanamuziki?

Hapana bro. This guy is financially stable. He runs Mombasa. He is super rich. Anawaleta kwa pesa yake just to make Mombasa famous kwa shughuli za starehe and to improve tourism.

Ali Kiba amekwama huku hataki kurudi Dar tokea lile tamasha la ODM aliloPerform na Diamond. Naskia analala na kuamka kwake. Joho is very rich. Trust me he runs Mombasa and possibly Kenya.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Swali langu ni kwamba wanatumia shilingi za walipa kodi kuwaleta hawa Wanamuziki?
Madai yao ni kwamba wanatengeneza Imani kwa dunia kuwa Mombasa kuna hali ya Amani na hali ni shwari out of Al shabaab

Ili Wazungu warudi tena kuwekeza kwenye hotels huko na idadi ya watalii iongezeke kama zamani kabla ya matukio ya Al shabaab.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sina sasa
ndo nshamkosa na huyooo!!!
Ukibebwa jishkize hiyo ndo love, Usiwe kambale.... Haya entrance tena juu yangu, yako nauli tu kufika hapa [emoji28]
 
Madai yao ni kwamba wanatengeneza Imani kwa dunia kuwa Mombasa kuna hali ya Amani na hali ni shwari out of Boko Haram

Ili Wazungu warudi tena kuwekeza kwenye hotels huko na idadi ya watalii iongezeke kama zamani kabla ya matukio ya Boko haram.
Boko Haram ama Al Shabaab? Get ur facts right, Boko Haram is in Nigeria.
 
Back
Top Bottom