theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
hahaaaa...!!ushafulia weye!Ha ha haa utanpata kwa fiesta mambo ya passport nawaachia wenyewe
Haswaaa na hv tuna uhakik sjui kama sijawa hewa miehahaaaa...!!ushafulia weye!
utajiju [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Haswaaa na hv tuna uhakik sjui kama sijawa hewa mie
Inavyoonekana kaunti 001, au ukipenda kaunti ya Mombasa inatarajiwa kupata masupastaa mpwito mpwito mwaka huu.
Baada ya kumleta Chris Brown Mombasa, Gavana wa Mombasa, Gavana 001, almaarufu Sultan au ukipenda Ali Hassan Joho aliwapa ahadi mashabiki waliohudhuria tamasha la [HASHTAG]#MombasaRocks[/HASHTAG], kuwa atamleta Nicki Minaj kuperform Mombasa.
Chini ya ministry ya Tourism, kaunti ya Mombasa imekuwa mstari wa mbele kukuza jina lake kupitia matamasha mbalimbali yanayoandaliwa ili kuipa sifa kaunti hii kwenye sekta ya Utalii.
Hivyo basi, wapenzi wa Nicki Minaj kaeni tayari.
Sasa kwenye hili tamasha inabidi kiba aende na Kalapina "asiye husika na show ashuke"
Swali langu ni kwamba wanatumia shilingi za walipa kodi kuwaleta hawa Wanamuziki?
Lazima nikauone MSAMBWANDA wa Minaj
Mungu anakuonaHivi alikiba huwa hanaga sehemu nyingine ya kupiga show?
My city my town. This is how we do, n this is how we get down. [emoji14]I love Mombasa
Hahaha kila nikikumbuka ile clip ya kalapina na ile sauti yake...huwa nacheka sana.Sasa kwenye hili tamasha inabidi kiba aende na Kalapina "asiye husika na show ashuke"
Last time nauli tu ilikushinda from Dar to Mombasa baada ya kukwambia kiingilio juu yangu. [emoji3]dahh!huyu naye namkosa....
Hii itajaa Team Mafisi.Safi sana Gavana Sultan....Mlete mtoto huyo minaj watu wasuze rungu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sina sasaLast time nauli tu ilikushinda from Dar to Mombasa baada ya kukwambia kiingilio juu yangu. [emoji3]
Just to have a great view of that booty.[emoji1]hii hata uhuru atakuwepo
Madai yao ni kwamba wanatengeneza Imani kwa dunia kuwa Mombasa kuna hali ya Amani na hali ni shwari out of Al shabaabSwali langu ni kwamba wanatumia shilingi za walipa kodi kuwaleta hawa Wanamuziki?
Ukibebwa jishkize hiyo ndo love, Usiwe kambale.... Haya entrance tena juu yangu, yako nauli tu kufika hapa [emoji28][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sina sasa
ndo nshamkosa na huyooo!!!
Boko Haram ama Al Shabaab? Get ur facts right, Boko Haram is in Nigeria.Madai yao ni kwamba wanatengeneza Imani kwa dunia kuwa Mombasa kuna hali ya Amani na hali ni shwari out of Boko Haram
Ili Wazungu warudi tena kuwekeza kwenye hotels huko na idadi ya watalii iongezeke kama zamani kabla ya matukio ya Boko haram.