Govi Lamuokoa Asiende Jela

Govi Lamuokoa Asiende Jela

Shida ya mkono wa Sweta bn ukibinjua govi unakutana na unga utadhani kwenye kichwa ulimwagia unga wa dona..hivi wanapataje ujasiri wa Kula mzigo hawa watu na ile Hali?

Wanawake Wana huruma snπŸ˜‚
Hebu tueleze vizuri ilikuwaje ukawajua hao viumbe?maana hiyo kazi wanaoijua ni wanyonyaji
 
Bwana Butongwa mkono wa sweta umemuokoa
atakua ni msukuma
Halafu msikariri mambo.Kuna makabila kibao hawana mila ya kutahiri:Wajaluo,Wajita,na mengineyo kibao.Ukiona mtu wa kabila hilo katahiriwa jua ni kwasababu ya exposure yake, ila kabila kama kabila halina mila hiyo.

Tembeeni mjionee siyo mnakariri kama kasuku,kila kitu Wasukuma.
 
Hebu tueleze vizuri ilikuwaje ukawajua hao viumbe?maana hiyo kazi wanaoijua ni wanyonyaji
Acha kuwaza upuuzi wewe..mm mwenyewe si mwanaume

Mimi nimetahiriwa jando la Porini na kisu tena bila ganzi nikiwa najitambua,siyo km hawa watoto wenu wa siku hizi mnaowatahiri wakiwa na siku 40,so kipindi cha makuzi nishalivuta sn govi na kukutana na unga
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jamaa alilibenjua likaonekana kama si govi 🀣🀣🀣🀣🀣

Binti atakuwa alinogewa na utamu kiasi Cha kushindwa kumchunguza Butongwa km ametahiriwa au lah!!, Wanawake huwa wanasema eti Mashine yenye govi ni tamu kuliko isiyo na govi.Sijui ni kweli.
 
Kanda ya ziwa ukiondoa wakurya wote ni magovinda
 
Back
Top Bottom