Govt nationalises illegally imported sugar from Kenya

Govt nationalises illegally imported sugar from Kenya

Acha kutuambukiza tabia za kibaguzi, huku sisi ni civilized nation hatujui wala hatuna tabia za kibaguzi kama ninyi, kila kitu kwenu mnahusisha ubaguzi, ubongo wenu wote umeathirika kutokana na ukabila, hamuamini na wala hamuelewi kwamba duniani kuna nchi wanaishi na kufanya mambo bila kuwepo kwa chembechembe za ubaguzi, wajinga wakubwa ninyi, rudini huko kwenye forums zenu zilizojaa ukabila.
Naona uko autopilot mode, punguza viroba.
 
Hehehe 😀 hawa jamaa wanakuwaga kwenye usingizi mzito kupindukia. Mara ni sukari, mara vifaranga. Tz hivi karibuni tutawauzia hadi hewa wanayoipumua. Nyang'au kawaida yetu ni pesa kwanza, ukipatwa na nuksi huko mbele. Imekula kwako!
 
Back
Top Bottom