Acha kutuambukiza tabia za kibaguzi, huku sisi ni civilized nation hatujui wala hatuna tabia za kibaguzi kama ninyi, kila kitu kwenu mnahusisha ubaguzi, ubongo wenu wote umeathirika kutokana na ukabila, hamuamini na wala hamuelewi kwamba duniani kuna nchi wanaishi na kufanya mambo bila kuwepo kwa chembechembe za ubaguzi, wajinga wakubwa ninyi, rudini huko kwenye forums zenu zilizojaa ukabila.