Govt seeks funds for Standard Gauge Railway extension

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
Govt seeks funds for Standard Gauge Railway extension

WRITTEN BY:Ronald Owili

November 2, 2017 14:48

The government has begun negotiations for financing of the Standard Gauge Railway extension from Naivasha to Narok, Bomet, Nyamira and Kisumu.

The extension of the three lines is expected to cost 350 billion shillings while construction of an inland port in Kisumu will cost 14 billion shillings.

phase one of the Standard Gauge Railway which is already complete has seen Kenya Railways begin passenger services, with freight services expected to begin next year.

Phase two A has already begun and is expected to be completed 18 month ahead of schedule.

Roads and Infrastructure Cabinet Secretary James Macharia now says the commercial contract for the extension of the railways to Narok, Nyamira, Bomet and Kisumu has been signed in a project that will cost another 350 billion shillings.

The SGR will further be complimented by an inland port in Kisumu to handle cargo being transported across lake Victoria to neighboring countries.

Tanzania has embarked on building 422kms of electrified SGR at KES 192 billion which Macharia says will not affect the expected regional interconnection. Kenya’s SGR is diesel powered.

Also Read Kenya Railways to launch second train service next week

When completed to the west coast of Africa in DRC, the Standard Gauge Railway is expected to be a key link to china, under the One Belt One Road Initiative.

A study to maximize the meter gauge railway whose concession has since been cancelled is underway.

Govt seeks funds for Standard Gauge Railway extension
 
Kwa hili nipo Upande wa Zitto!
Kujenga Reli kuipeleka Rwanda kwa gharama kubwa wakati Rwanda kwny Biashara Hii ya usafirishaji anazo multiple source anaweza kusafirisha kupitia Kenya na Uganda hivyo anakuwa na Option na competition inakuwa kubwa kwa upande wetu
Ingefaa sana kuipeleka Kigoma ili kupata Uhakika wa Mteja ambao ni Burundi na. Mashariki ya Congo ambao hawana Mbadala wa usafirishaji

Yaan unaacha kufungua Duka Eneo ambalo huna mshindan unaenda kwny ushindan kwa kuwa tu Mmoja wa wateja ni rafiki zako
 
Una maanisha nini?
 
Hivi reli inaweza kufika Rwanda bila kupitia Kigoma!!!!?
 
Hivi reli inaweza kufika Rwanda bila kupitia Kigoma!!!!?
Yaaa!

Hii ya sasa ya Mchapakazi Magufuli haifiki Kigoma awamu ya kwanza inakatia Tabora inapitia 'Nyumbani ' then huko kwa Kagame
 
Ushauri wa Zitto unahusikaje kwenye masuala ya ujenzi wa reli ya Kenya.
 
Yaaa!

Hii ya sasa ya Mchapakazi Magufuli haifiki Kigoma awamu ya kwanza inakatia Tabora inapitia 'Nyumbani ' then huko kwa Kagame
Acha kupotosha mkuu SGR inajengwa kuliko na M tandao wa reli tayari. Hakuna Reli Chato, Biharamlo wala Ngara. Awamu ya kwanza inaishia Mwanza.
 
Dah,alafu nilijua ww ni Bonge la GENIUS mwanangu, kumbe fala!!?Aiseh.
 
Ushauri wa Zitto unahusikaje kwenye masuala ya ujenzi wa reli ya Kenya.

Tatizo lenu ni vilaza sana!

Action of ur competitor should have reaction on your plan!

Ukiona Kenya wanaimarisha Miundombinu Yao ya Reli ujue lazima itaathiri plan zetu za ku save Jirani zetu ambao tunagombania Wateja na Kenya!
 
Sasa ukijua Mie ni genius au fala napungukiwa na nini?
Tunajua tukuweke wapi sasa upo rasmi kundi la mapunga maana unajitia sintofahamu ya kuwa Kagame kashatangaza anataka reli ipi!
 
Usipende Kupinga kwa kujiamini na kile unacho kiona na kukiwaza kichwani mwako pekee
Reli inaenda kupiga kona Tabora
pia kutakuwa na Awamu ya Tabora Kigoma
Kaliua Mpanda
kwahiyo Reli itafika Kigoma
 
Hii reli ya Tz itajengwa kwanzia 2022, kwa sasa ni lots of side shows.
 
Usipende Kupinga kwa kujiamini na kile unacho kiona na kukiwaza kichwani mwako pekee
Reli inaenda kupiga kona Tabora
pia kutakuwa na Awamu ya Tabora Kigoma
Kaliua Mpanda
kwahiyo Reli itafika Kigoma
Tunajua tukuweke wapi sasa upo rasmi kundi la mapunga maana unajitia sintofahamu ya kuwa Kagame kashatangaza anataka reli ipi!
Acha kupotosha mkuu SGR inajengwa kuliko na M tandao wa reli tayari. Hakuna Reli Chato, Biharamlo wala Ngara. Awamu ya kwanza inaishia Mwanza.
Ushauri wa Zitto unahusikaje kwenye masuala ya ujenzi wa reli ya Kenya.
Hii reli ya Tz itajengwa kwanzia 2022, kwa sasa ni lots of side shows.
Bookmark my comment then after miaka mitano mtanisadiki kuwa Hii hyped up SGR ni hadi 2022.
 
Dalili ya msongo wa mawazo ama msonjo na kihoro [emoji23] [emoji115]
Usikose kuangalia major announcement toka Masaka where Magufuli is on official visit to Uganda.
Hamna lolote jipya ila kuwachezea wadanganyika kamari huku ukishabikia kijinga na kuwapotosha wenzako .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…