mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Weka ushahidi hata wa picha mkuu.Mbona ujenzi inaendelea mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka ushahidi hata wa picha mkuu.Mbona ujenzi inaendelea mkuu
Pretty sure hujasoma the report n yet una-text ukidhani serikali ya Tanzania ndo itahitajika fedha hizo! Idiot of highest order[emoji115] [emoji23]Hamna lolote jipya ila kuwachezea wadanganyika kamari huku ukishabikia kijinga na kuwapotosha wenzako .
Ebu pitia Kongowe ya Kibaha na utembelee eneo linaitwa Soga uone kinachoendele. Kadhalika ShauriMoyo na Pugu.Weka ushahidi hata wa picha mkuu.
Huyu jamaa ni bwege wa aina yake vitriol hatred n jittery argument classifies him! Atakuwa anataka Kirinyaga ama Nyeri ama Gatundu [emoji23] [emoji115]Vipi ile mitungi ya chang'aa iliyogharimu $3.4B inaendeleaje?
Pretty sure hujasoma the report n yet una-text ukidhani serikali ya Tanzania ndo itahitajika fedha hizo! Idiot of highest order[emoji115] [emoji23]
Ingefaa kupelekwa Mbeya. 70% ya transit goods zinapita boarder ya Tunduma kuelekea Zambia, Congo, pia boarder ya kasumulo kuelekea Malawi. Hawana option zaidi ya bandari yetuKwa hili nipo Upande wa Zitto!
Kujenga Reli kuipeleka Rwanda kwa gharama kubwa wakati Rwanda kwny Biashara Hii ya usafirishaji anazo multiple source anaweza kusafirisha kupitia Kenya na Uganda hivyo anakuwa na Option na competition inakuwa kubwa kwa upande wetu
Ingefaa sana kuipeleka Kigoma ili kupata Uhakika wa Mteja ambao ni Burundi na. Mashariki ya Congo ambao hawana Mbadala wa usafirishaji
Yaan unaacha kufungua Duka Eneo ambalo huna mshindan unaenda kwny ushindan kwa kuwa tu Mmoja wa wateja ni rafiki zako
Hata Malory yanayoenda Rwanda hayapiti kigomaHivi reli inaweza kufika Rwanda bila kupitia Kigoma!!!!?
Uganda. Rwanda. Burundi. DRC. DRC kunashaba nyingi sana Na madini wengine18 months to reach Naivasha...thats great...Tanzania should just forget abt their white elephant project...yaani rwanda na burundi hazina mizigo ya kutosha ili kulipa deni la ujenzi huo...
Wamefurahi kusafirisha watu 300,000 in 3 months wakati DART inasafirisha 200,000 kwa siku [emoji115] [emoji23] [emoji125]Vipi ile mitungi ya chang'aa iliyogharimu $3.4B inaendeleaje?
Wamefurahi kusafirisha watu 300,000 in 3 months wakati DART inasafirisha 200,000 kwa siku [emoji115] [emoji23] [emoji125]Vipi ile mitungi ya chang'aa iliyogharimu $3.4B inaendeleaje?
Furthest point Kenya's SGR can reach is Kampala, unfortunately to reach Juba, Kigali and Eastern DRC depends on Uganda to decide which route it can construct, and Museveni has categorically said is only willing and able to connect with Juba only because that route has enough cargo with Kampala, that means Kigali and Eastern DRC remain with only one choice, central corridor.18 months to reach Naivasha...thats great...Tanzania should just forget abt their white elephant project...yaani rwanda na burundi hazina mizigo ya kutosha ili kulipa deni la ujenzi huo...
time will tell...all Uganda, South Sudan cargo tumenyakua...Rwanda, DRC na Burundi pia hatuwaachi...we will share those 3 countries..Furthest point Kenya's SGR can reach is Kampala, unfortunately to reach Juba, Kigali and Eastern DRC depends on Uganda to decide which route it can construct, and Museveni has categorically said is only willing and able to connect with Juba only because that route has enough cargo with Kampala, that means Kigali and Eastern DRC remain with only one choice, central corridor.
Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
Tujadili mada sio Personal behavior yangu!Usipende Kupinga kwa kujiamini na kile unacho kiona na kukiwaza kichwani mwako pekee
Reli inaenda kupiga kona Tabora
pia kutakuwa na Awamu ya Tabora Kigoma
Kaliua Mpanda
kwahiyo Reli itafika Kigoma
Acha kupotosha mkuu SGR inajengwa kuliko na M tandao wa reli tayari. Hakuna Reli Chato, Biharamlo wala Ngara. Awamu ya kwanza inaishia Mwanza.
Hauwezi kwenda Rwanda bila kupitia maeneo niliyotaja kwa kipande cha Kanda ya ziwa.Wapi nimeandika inajengwa Chatto?
Niliposema inapelekwa Nyumbani akili yako ikawaza Chatto haikuwaza Nyumbani ni kanda ya Ziwa!
Weka picha wacha hekaya za Abunuasi.Ebu pitia Kongowe ya Kibaha na utembelee eneo linaitwa Soga uone kinachoendele. Kadhalika ShauriMoyo na Pugu.
nadhani kichwa chako kina upungufu flani...yaani unaweza fananisha long distance travel na basi za mjini?? sasa fananisha DART na Matatu za Nairobi ujionee mazingaombwe..matatu zinasafirisha zaidi ya millioni kila sikuWamefurahi kusafirisha watu 300,000 in 3 months wakati DART inasafirisha 200,000 kwa siku [emoji115] [emoji23] [emoji125]
BTW Hiyo Ni DART in 2nd phase daladala zipo pia! Leta evidence ya hao milioni..nadhani kichwa chako kina upungufu flani...yaani unaweza fananisha long distance travel na basi za mjini?? sasa fananisha DART na Matatu za Nairobi ujionee mazingaombwe..matatu zinasafirisha zaidi ya millioni kila siku
Leta evidence ya facts kwamba connection to DRC ni more viable than to Uganda n Rwanda wakati tunajua 80% ya Rwandan goods zinapita Dar port! Na goods to DRC passes to Kigali first before getting to a place called Goma n Kivu. Una akili kama ya Zitto hata baada ya serikali ya Kikwete kuwapa daraja la Kikwete, barabara, uwanja wa ndege na umeme jua bado tu! Tuonyesheni mlivyopewa vimewasaidia vp kwanza maana hata reli ya Mjerumani na bandari yake haijawasaidia, Waha nyie ni watu wa ajabu!..Tujadili mada sio Personal behavior yangu!
Plan ya awali ya Hii Reli awamu ya kwanza ilikuwa ni Dsm to kgm mpaka wakati Jakaya anaondoka
Lengo kunyanyua bandari ya Kigoma kwa kuwa itakuwa na monopoly position ya kuhudumia Mashariki ya Congo, Burundi yote na Zambia upande wa Mashariki
Baada ya Jk kuondoka ikabadilishwa na kupelekwa huko inakopelekwa na ndio Msingi wa hoja zangu kuwa Kwa kuwa tunaanza Ujenzi kwa Mkopo lazima Mradi uwe viable kwa kuupeleka Eneo ambalo Mradi ukianza unaweza kuzalisha Marejesho ya Mkopo na kuweza ku Dave nyingine ya kuendeleza phase zingine
Uganda na Rwanda tayari wana Mfumo wa barabara mpaka Mombasa na sasa Reli ya Kisasa inapelekwa huko na Kenya hivyo badala ya kucheza kamari kuwekeza eneo lenye mshindani ni bora awamu ya kwanza ukawekeze Eneo ambalo uta enjoy monopoly of transportation
Hapa nina challenge scale of preference ya Mradi na Kama una hoja tetea umuhimu wa hiyo new scale sio kujadili my personal behavior ya egoism!