Govt seeks funds for Standard Gauge Railway extension

Hamna lolote jipya ila kuwachezea wadanganyika kamari huku ukishabikia kijinga na kuwapotosha wenzako .
Pretty sure hujasoma the report n yet una-text ukidhani serikali ya Tanzania ndo itahitajika fedha hizo! Idiot of highest order[emoji115] [emoji23]
 
Vipi ile mitungi ya chang'aa iliyogharimu $3.4B inaendeleaje?
Huyu jamaa ni bwege wa aina yake vitriol hatred n jittery argument classifies him! Atakuwa anataka Kirinyaga ama Nyeri ama Gatundu [emoji23] [emoji115]
 
18 months to reach Naivasha...thats great...Tanzania should just forget abt their white elephant project...yaani rwanda na burundi hazina mizigo ya kutosha ili kulipa deni la ujenzi huo...
 
Ingefaa kupelekwa Mbeya. 70% ya transit goods zinapita boarder ya Tunduma kuelekea Zambia, Congo, pia boarder ya kasumulo kuelekea Malawi. Hawana option zaidi ya bandari yetu
 
18 months to reach Naivasha...thats great...Tanzania should just forget abt their white elephant project...yaani rwanda na burundi hazina mizigo ya kutosha ili kulipa deni la ujenzi huo...
Uganda. Rwanda. Burundi. DRC. DRC kunashaba nyingi sana Na madini wengine
 
18 months to reach Naivasha...thats great...Tanzania should just forget abt their white elephant project...yaani rwanda na burundi hazina mizigo ya kutosha ili kulipa deni la ujenzi huo...
Furthest point Kenya's SGR can reach is Kampala, unfortunately to reach Juba, Kigali and Eastern DRC depends on Uganda to decide which route it can construct, and Museveni has categorically said is only willing and able to connect with Juba only because that route has enough cargo with Kampala, that means Kigali and Eastern DRC remain with only one choice, central corridor.

Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
 
time will tell...all Uganda, South Sudan cargo tumenyakua...Rwanda, DRC na Burundi pia hatuwaachi...we will share those 3 countries..
 
Usipende Kupinga kwa kujiamini na kile unacho kiona na kukiwaza kichwani mwako pekee
Reli inaenda kupiga kona Tabora
pia kutakuwa na Awamu ya Tabora Kigoma
Kaliua Mpanda
kwahiyo Reli itafika Kigoma
Tujadili mada sio Personal behavior yangu!

Plan ya awali ya Hii Reli awamu ya kwanza ilikuwa ni Dsm to kgm mpaka wakati Jakaya anaondoka

Lengo kunyanyua bandari ya Kigoma kwa kuwa itakuwa na monopoly position ya kuhudumia Mashariki ya Congo, Burundi yote na Zambia upande wa Mashariki

Baada ya Jk kuondoka ikabadilishwa na kupelekwa huko inakopelekwa na ndio Msingi wa hoja zangu kuwa Kwa kuwa tunaanza Ujenzi kwa Mkopo lazima Mradi uwe viable kwa kuupeleka Eneo ambalo Mradi ukianza unaweza kuzalisha Marejesho ya Mkopo na kuweza ku Dave nyingine ya kuendeleza phase zingine

Uganda na Rwanda tayari wana Mfumo wa barabara mpaka Mombasa na sasa Reli ya Kisasa inapelekwa huko na Kenya hivyo badala ya kucheza kamari kuwekeza eneo lenye mshindani ni bora awamu ya kwanza ukawekeze Eneo ambalo uta enjoy monopoly of transportation

Hapa nina challenge scale of preference ya Mradi na Kama una hoja tetea umuhimu wa hiyo new scale sio kujadili my personal behavior ya egoism!
 
Acha kupotosha mkuu SGR inajengwa kuliko na M tandao wa reli tayari. Hakuna Reli Chato, Biharamlo wala Ngara. Awamu ya kwanza inaishia Mwanza.

Wapi nimeandika inajengwa Chatto?
Niliposema inapelekwa Nyumbani akili yako ikawaza Chatto haikuwaza Nyumbani ni kanda ya Ziwa!
 
Wapi nimeandika inajengwa Chatto?
Niliposema inapelekwa Nyumbani akili yako ikawaza Chatto haikuwaza Nyumbani ni kanda ya Ziwa!
Hauwezi kwenda Rwanda bila kupitia maeneo niliyotaja kwa kipande cha Kanda ya ziwa.

Hivyo Nilikatataa hoja yako kwamba Reli inaelekezwa Rwanda bali inaishia Mwanza na Mwanza haina muunganiko na Rwanda. Mwanza ina direct link na Uganda kupitia ziwa.

Ikumbukwe hii Reli ya sasa haitang'olewa.Zitaoperate zote kwa pamoja.
 
Wamefurahi kusafirisha watu 300,000 in 3 months wakati DART inasafirisha 200,000 kwa siku [emoji115] [emoji23] [emoji125]
nadhani kichwa chako kina upungufu flani...yaani unaweza fananisha long distance travel na basi za mjini?? sasa fananisha DART na Matatu za Nairobi ujionee mazingaombwe..matatu zinasafirisha zaidi ya millioni kila siku
 
nadhani kichwa chako kina upungufu flani...yaani unaweza fananisha long distance travel na basi za mjini?? sasa fananisha DART na Matatu za Nairobi ujionee mazingaombwe..matatu zinasafirisha zaidi ya millioni kila siku
BTW Hiyo Ni DART in 2nd phase daladala zipo pia! Leta evidence ya hao milioni..
 
Leta evidence ya facts kwamba connection to DRC ni more viable than to Uganda n Rwanda wakati tunajua 80% ya Rwandan goods zinapita Dar port! Na goods to DRC passes to Kigali first before getting to a place called Goma n Kivu. Una akili kama ya Zitto hata baada ya serikali ya Kikwete kuwapa daraja la Kikwete, barabara, uwanja wa ndege na umeme jua bado tu! Tuonyesheni mlivyopewa vimewasaidia vp kwanza maana hata reli ya Mjerumani na bandari yake haijawasaidia, Waha nyie ni watu wa ajabu!..
 
Reactions: Oii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…