GPA 3.3, nitapata masters chuo gani hapa Bongo

GPA 3.3, nitapata masters chuo gani hapa Bongo

wewe si kila siku unalialia humu ooooh nashindia mikate iliyooza.. DEO WA BAGAMOYO AMENIKATIA MSHAHARA.naishi kwa kuungaunga...
*HIYO ADA YA MASTERS INATOKA WAPI..NA UTAENDA KULA NINI
*HIYO RUHUSA YA KUUNGANISHA SHULE BILA KURUDI KITUO CHA KAZI KUTUMIKIA MIAKA MIWILI UMEPEWA NA NANI....
........achaga kukoga watu humu.. tunachukulia issue unazoleta serious kumbe unajijua unaleta comedy
 
mkuu bumija, karibu chuo kikuu cha arusha kilichopo usa river arusha. wao wanaanza na gpa ya 2.7 kusoma masters yoyote. unaweza ukakigoogle kwa maelezo zaidi ila kipo poa sana.
 
Na nje ya nchi Vip nao wanataka GPA kubwa sana?
 
Kayimukaa nimekusoma asante
 
Vanmedy nimesharudi kituoni man na natumai sio mda nataka niombe nikasome tena niwapite
 
Ha haaa napenda sana MA
 
Kama undergraduate ulisoma UDSM, nakupongeza kwa hiyo GPA! Yan ukishakuwa na GPA ya 3.0 and above kutoka UD, bas we hata kuwa tutor utafaa... ile ya 3.8 wanayotakaga ni kutoka 'vyuo vingine'...
 
Kama undergraduate ulisoma UDSM, nakupongeza kwa hiyo GPA! Yan ukishakuwa na GPA ya 3.0 and above kutoka UD, bas we hata kuwa tutor utafaa... ile ya 3.8 wanayotakaga ni kutoka 'vyuo vingine'...

Mkuu wacha ulongo bhanaa
 
sifa za kijinga

Ila kweli kama mtu unapata gpa yote hiyo alafu unashindwa kuwa na uwezo wa kwenda chuo husika kupata maelezo sahihi unakuja hapa jf tena si mara moja, fanya mambo yako kimya kimya, dogo ana gpa ya 4.0 hiyo md muhimbili lkn hajawah mwambia mtu hizo vitu zipo tu alafu gpa haisaidii chochote ni kuchangamka tu mtaani kukimbiza mwenge upate chapaa.
 
Napenda nipige MA in History na nimeuliza wadau mana sina uwezo wa kuzunguka Vyuo vyote

udsm postgraduate prospectus 2013/2014-2014/2015 wanasema at leat uwe na second class na mwaka huu wamechukua had 2.9

angalizo kama mwaka huo unaoapply ikatokea mpo wengi na wengi wakawa wamekuzid basi unaweza ukaachwa ila mkawa wengi na ww ukawa upo juu kwa gpa utaenda na pia kama mkaaply wachache itakuwa neema kwako
 
Kama undergraduate ulisoma UDSM, nakupongeza kwa hiyo GPA! Yan ukishakuwa na GPA ya 3.0 and above kutoka UD, bas we hata kuwa tutor utafaa... ile ya 3.8 wanayotakaga ni kutoka 'vyuo vingine'...

acha kudanganya umma nani alikuwa tutor kwa gpa chini ya 3.8? na ni chuo gani?
 
Nimeuliza mana sina Computer na nipo kijijini sana
 
Back
Top Bottom