GPA hii itamruhusu kwenda masters ?

GPA hii itamruhusu kwenda masters ?

joahjohar

Member
Joined
Oct 19, 2014
Posts
18
Reaction score
1
Habari wanafm! mm ninamdogo wangu alimaliza degreevya ualimu na aliajiriwa sasa anataka kuchukua mastaz hiyo hiyo ya edction so ni coz gani achukue? but mbaya zaidi anambia hajui kama atakubaliwa kokote coz GPA yake ni pass. Mawazo yenu jamani
 
Mkuu si usene tu kuwa ni weww ndo unataka usome? but apo lazima awe na uzoefu wa kufundisha usiopungua miaka miwili ndio ataeleweka.
 
akasome postgraduate diploma one year

mkuu ukishakuwa na taaluma ya elimu huwezi soma post graduate diploma ya education tena. labda asome PGD ya kitu kingine ambapo bado atakuwa njee ya lengo,maana yeye anataka asome masters ya education
 
zoom polytechnic college-Magomeni atapata kwa huo ufaulu wake!
 
Asome postgraduate , halafu atafanya Masters
Kama hawamchukuwi post ya education asome Psychology ,socilogy ....post ,then masters arudi kwenye education
 
Pass degree huwezi kwenda masters, labda postgraduate course, then masters.
 
mkuu ukishakuwa na taaluma ya elimu huwezi soma post graduate diploma ya education tena. labda asome PGD ya kitu kingine ambapo bado atakuwa njee ya lengo,maana yeye anataka asome masters ya education

Kichwani matope kabisa!yaan hujui PGD inasomwa na watu wa aina gani?!hiyo pass ni yako tena usimsingizie mdogo wako....
 
Kichwani matope kabisa!yaan hujui PGD inasomwa na watu wa aina gani?!hiyo pass ni yako tena usimsingizie mdogo wako....

du kanishangazi pia???!!Hawezi soma post ya nini vile......??tena ameandika kwa kujiamini kwelikweli
 
Back
Top Bottom