GPA kwa waalimu wa vyuo; wa Degree, Diploma na Certificate

Geniustin

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
4,371
Reaction score
2,834
Wakuu,heshima yenu kwanza!

Pili naomba kuuliza ili kufundisha vyuoni(Universities,Institutes,Colleges) katika level mbalimbali(degree,diploma,certificate) Inampasa mfundishaji awe na ufaulu wa GPA gani?? Kwa kiwango chake?

Either kama ana Degree,awe na GPA gani?? Kama ana Diploma awe na GPA gani??

Natanguliza shukrani zangu.
 
Ok, nachojua nikwamba kama unataka kufundisha chuo kikuu walau uwe na GPA ya 3.5 kama na wewe una degree, kwa maana nyingine uwe assistant lecturer.
 
Wakuu,heshima yenu kwanza..!
Pili naomba kuuliza ili kufundisha vyuoni(Universities,Institutes,Colleges) katika level mbalimbali(degree,diploma,certificate)....Inampasa mfundishaji awe na ufaulu wa GPA gani?? Kwa kiwango chake??
Either kama ana Degree,awe na GPA gani?? Kama ana Diploma awe na GPA gani??

Natanguliza shukrani zangu.

3.5 kwa ualimu wa chuo then utaanza kama tutorial assistant then utapewa nafasi ya kusoma masters kama ukifaulu utapewa assistant lecturer ukifail mkataba utaishia hapo...but ualimu wa diploma na certificate na uzoefu na bahati kwenye kuomba
 
Ok, nachojua nikwamba kama unataka kufundisha chuo kikuu walau uwe na GPA ya 3.5 kama na wewe una degree, kwa maana nyingine uwe assistant lecturer.

Asante mkuu.
 
Nashukuru mkuu kwa kunielewesha.
 
Ok, nachojua nikwamba kama unataka kufundisha chuo kikuu walau uwe na GPA ya 3.5 kama na wewe una degree, kwa maana nyingine uwe assistant lecturer.

Kama una Diploma,unatakiwa kuwa na GPA ya ngapi?
 
Ok, nachojua nikwamba kama unataka kufundisha chuo kikuu walau uwe na GPA ya 3.5 kama na wewe una degree, kwa maana nyingine uwe assistant lecturer.

marekebisho kdogo, ukiwa na degree moja utakuwa tutorial assistant lecturer na siyo assistant lecturer ( degree 2)
 
Back
Top Bottom