Wakuu,heshima yenu kwanza..!
Pili naomba kuuliza ili kufundisha vyuoni(Universities,Institutes,Colleges) katika level mbalimbali(degree,diploma,certificate)....Inampasa mfundishaji awe na ufaulu wa GPA gani?? Kwa kiwango chake??
Either kama ana Degree,awe na GPA gani?? Kama ana Diploma awe na GPA gani??
Natanguliza shukrani zangu.
3.5 kwa ualimu wa chuo then utaanza kama tutorial assistant then utapewa nafasi ya kusoma masters kama ukifaulu utapewa assistant lecturer ukifail mkataba utaishia hapo...but ualimu wa diploma na certificate na uzoefu na bahati kwenye kuomba
Ok, nachojua nikwamba kama unataka kufundisha chuo kikuu walau uwe na GPA ya 3.5 kama na wewe una degree, kwa maana nyingine uwe assistant lecturer.