GPA ya level ipi, diploma au degree na hata kama ni ya degree haiwezi kuwa hivyo umechanganya mambo kuanzia hapo kwenyw lower second kushuka chiniGPA(Grade Point Average)
Flow of GPA chart.
1-First class GPA starts from 4.4GPA to 5.0GPA
2-Upper second class GPA starts from 3.5GPA to 4.3GPA
3-Lower second class GPA starts from 3.7GPA to 3.4GPA
4-Pass GPA starts from 3.0GPA to 2.6GPA
5-Over GPA starts from 2GPA to 0GPA(discontinuity) disc.
in simple way you can imaginine GAP as division. That will help you.
kuna baadhi ya vyuo unatakiwa GPA isishuke yaan kuanzia mwaka wa kwanza mpaka unamaliza mfano mwaka wa kwanza una GPA ya 3.5 , then wa pili 3.7 , wa tatu 3.8 na wa nne 4.0 hapa utapata hio honors.Hivi wakuu nini maana ya mtu kugraduate with honors ??
Vip kushuka kutoka semester moja na nyengine, mfano semseter ya Kwanza ukawa na kubwa Ila ya pili ukadrop within the same yearkuna baadhi ya vyuo unatakiwa GPA isishuke yaan kuanzia mwaka wa kwanza mpaka unamaliza mfano mwaka wa kwanza una GPA ya 3.5 , then wa pili 3.7 , wa tatu 3.8 na wa nne 4.0 hapa utapata hio honors.
lakin ikitokea hivi , labda mwaka wa kwanza 3.6, wapili 4.0 , wa tatu 3.8 na wanne 4.1 sahau kuhusu honors.
nakuna vyuo nilisikiaga umalize bila kupata sup , ila sina uhakika sanaa hapaa
hapana hawaangalii GPA ya semesters , wanaangalia overall GPA ya mwaka mzima.Vip kushuka kutoka semester moja na nyengine, mfano semseter ya Kwanza ukawa na kubwa Ila ya pili ukadrop within the same year
Sawa nashukuru, maanahapana hawaangalii GPA ya semesters , wanaangalia overall GPA ya mwaka mzima.
Mantic yake ni ipi?kuna baadhi ya vyuo unatakiwa GPA isishuke yaan kuanzia mwaka wa kwanza mpaka unamaliza mfano mwaka wa kwanza una GPA ya 3.5 , then wa pili 3.7 , wa tatu 3.8 na wa nne 4.0 hapa utapata hio honors.
lakin ikitokea hivi , labda mwaka wa kwanza 3.6, wapili 4.0 , wa tatu 3.8 na wanne 4.1 sahau kuhusu honors.
nakuna vyuo nilisikiaga umalize bila kupata sup , ila sina uhakika sanaa hapaa
kuna baadhi ya vyuo unatakiwa GPA isishuke yaan kuanzia mwaka wa kwanza mpaka unamaliza mfano mwaka wa kwanza una GPA ya 3.5 , then wa pili 3.7 , wa tatu 3.8 na wa nne 4.0 hapa utapata hio honors.
lakin ikitokea hivi , labda mwaka wa kwanza 3.6, wapili 4.0 , wa tatu 3.8 na wanne 4.1 sahau kuhusu honors.
nakuna vyuo nilisikiaga umalize bila kupata sup , ila sina uhakika sanaa hapaa
Naona mwamba unazidi kachanganya mafaili..GPA(Grade Point Average)
Flow of GPA chart.
1-First class GPA starts from 4.4GPA to 5.0GPA
2-Upper second class GPA starts from 3.5GPA to 4.3GPA
3-Lower second class GPA starts from 2.7GPA to 3.4GPA
4-Pass GPA starts from 2.0GPA to 2.6GPA
5-Unsatisfied GPA starts from 0GPA to 1.9GPA(discontinuity) disc.
in simple way you can imaginine GAP as division. That will help you.