GPA Meaning

GPA Meaning

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
GPA(Grade Point Average)

Flow of GPA chart.
1-First class GPA starts from 4.4GPA to 5.0GPA
2-Upper second class GPA starts from 3.5GPA to 4.3GPA
3-Lower second class GPA starts from 2.7GPA to 3.4GPA
4-Pass GPA starts from 2.0GPA to 2.6GPA
5-Unsatisfied GPA starts from 0GPA to 1.9GPA(discontinuity) disc.

in simple way you can imaginine GAP as division. That will help you.
 
1571984640705.png

UDSM Prospectus 2018/19 Faculty of Humanities and Social Sciences
 
GPA(Grade Point Average)

Flow of GPA chart.
1-First class GPA starts from 4.4GPA to 5.0GPA
2-Upper second class GPA starts from 3.5GPA to 4.3GPA
3-Lower second class GPA starts from 3.7GPA to 3.4GPA
4-Pass GPA starts from 3.0GPA to 2.6GPA
5-Over GPA starts from 2GPA to 0GPA(discontinuity) disc.

in simple way you can imaginine GAP as division. That will help you.
GPA ya level ipi, diploma au degree na hata kama ni ya degree haiwezi kuwa hivyo umechanganya mambo kuanzia hapo kwenyw lower second kushuka chini
 
Hivi wakuu nini maana ya mtu kugraduate with honors ??
kuna baadhi ya vyuo unatakiwa GPA isishuke yaan kuanzia mwaka wa kwanza mpaka unamaliza mfano mwaka wa kwanza una GPA ya 3.5 , then wa pili 3.7 , wa tatu 3.8 na wa nne 4.0 hapa utapata hio honors.

lakin ikitokea hivi , labda mwaka wa kwanza 3.6, wapili 4.0 , wa tatu 3.8 na wanne 4.1 sahau kuhusu honors.

nakuna vyuo nilisikiaga umalize bila kupata sup , ila sina uhakika sanaa hapaa
 
Vip kushuka kutoka semester moja na nyengine, mfano semseter ya Kwanza ukawa na kubwa Ila ya pili ukadrop within the same year
 
Mie najuaga ni kutokupata SUP kipindi chote cha chuo... Plus matokeo kuonyesha graph ya sawaa au kupanda
 
kuna baadhi ya vyuo unatakiwa GPA isishuke yaan kuanzia mwaka wa kwanza mpaka unamaliza mfano mwaka wa kwanza una GPA ya 3.5 , then wa pili 3.7 , wa tatu 3.8 na wa nne 4.0 hapa utapata hio honors.

lakin ikitokea hivi , labda mwaka wa kwanza 3.6, wapili 4.0 , wa tatu 3.8 na wanne 4.1 sahau kuhusu honors.

nakuna vyuo nilisikiaga umalize bila kupata sup , ila sina uhakika sanaa hapaa
Mantic yake ni ipi?
Kama kwenye mfano wako uyo mtu wa pili ndio hana ufahulu mzuri, kwa iyo kupanda kila mwaka ndio sifa ya ku graduate in Honor.??
Mfano ufahulu wa 2.8, 3.1 na 3.4 , mwingine apate 4.1, 3.9 na 4.5 uyo wa kwanza hana graduate na kuitwa hiyo honors kwa sababu ufahulu wake ulikua unapanda ? Ila wastani wake ni mbovu.

Sina hakika kama uko sahihi.
 
mi mwenyewe naskiaga ivyo ivyo wapo wanao semea Sup wapo wanao semea GPA
kuna baadhi ya vyuo unatakiwa GPA isishuke yaan kuanzia mwaka wa kwanza mpaka unamaliza mfano mwaka wa kwanza una GPA ya 3.5 , then wa pili 3.7 , wa tatu 3.8 na wa nne 4.0 hapa utapata hio honors.

lakin ikitokea hivi , labda mwaka wa kwanza 3.6, wapili 4.0 , wa tatu 3.8 na wanne 4.1 sahau kuhusu honors.

nakuna vyuo nilisikiaga umalize bila kupata sup , ila sina uhakika sanaa hapaa
 
GPA(Grade Point Average)

Flow of GPA chart.
1-First class GPA starts from 4.4GPA to 5.0GPA
2-Upper second class GPA starts from 3.5GPA to 4.3GPA
3-Lower second class GPA starts from 2.7GPA to 3.4GPA
4-Pass GPA starts from 2.0GPA to 2.6GPA
5-Unsatisfied GPA starts from 0GPA to 1.9GPA(discontinuity) disc.

in simple way you can imaginine GAP as division. That will help you.
Naona mwamba unazidi kachanganya mafaili..
 
Back
Top Bottom