Gpa ya3.7Diploma ntapata kwel UDSM Bcom Accounts

Johnyy

Member
Joined
Dec 21, 2018
Posts
93
Reaction score
39
Wana jf,GPA ya diploma inasoma 3.7 ndoto kuingia UDSM kwa competition iliyopo pale ntapata kweli??
 
Mm nilikuwa na 4.4 overall na nimepiga diploma ya account MoCU ila nikaaply juzi, na nimepigwa nyundo, na mathematics ya o level Nina C
 
umekuja kuomba ushauri wa nini sasa.
ukweli ni kwamba hupati.
Yah huu ndo ukweli, wale jamaa acha kabsa. Me pia nmekula banzi na gpa yangu ya 3.9 ya account hapo TIA japo o level math nlizingua na D lakin naona hawana huruma [emoji23] kwa kweli
 
Unanipangia

Hupati, usipoteze muda

Nenda Mwecau, Tumaini Au Sauti
Hapa naona mnataka kupishana lugha, la msingi amekushauri pamoja na kuomba UDSM ambako kuna uwezekano mkubwa wa kukosa, uombe vyuo vingine ambavyo vinaweza kukupa nafasi kwa urahisi zaidi. UDSM ni ndoto ya wengi lakini ukweli UDSM pia ni kaburi la wengi. Kuwa makini,tumeyapitia na kuyaona.
 
kaburi la.wengi kivip? boss
 
Back
Top Bottom