Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,602
- 7,332
Unaomba UDSM na kusahau vyuo vingine, ushindani unakutupa ukikumbuka vyuo vingine wenzako wamejaza, hapo ndio uko kaburini.kaburi la.wengi kivip? boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaomba UDSM na kusahau vyuo vingine, ushindani unakutupa ukikumbuka vyuo vingine wenzako wamejaza, hapo ndio uko kaburini.kaburi la.wengi kivip? boss
ule muongozo huwa atusomi ukisha faulu imeisha iyo ni kuchagua location tu😅Unaomba UDSM na kusahau vyuo vingine, ushindani unakutupa ukikumbuka vyuo vingine wenzako wamejaza, hapo ndio uko kaburini.
Afadhali umekazia, yapasa tuwe wengi watu tunaongea ukweli, ili vijana wabadilike.UDSM Kama huna GPA ya 4.0 kwenda juu ukipata Basi shukuru Mungu, Ila ukweli Ni kuwa hupati nafasi.
Mwanakulitafuta mwana kulipataNaomba kujua ,nili apply vyuo vitatu nikapata kimoja muccobs ambayo ni full admission Ila nime cancel ili niweze apply chuo kingine lkn wakat wa kufanya applications chuo kingine ina sema "you
Do not have clear status please consult TCU for reconciliation"
Duh Watapokea cmu sasa....Mwanakulitafuta mwana kulipata
Tuliwaambia mkajifanya hamsikii
Anyway kwa kukusaidia kesho Asubuhi na mapema wapigie TCU wareject offer uliyopata
Amna majina Yameshapelekwa TCU na chuo husika kwahiyo sahiz wew unasomeka kama mwanachuo wa Muccobs ili jina lako liondolewe TCU inabidi uwapigie wao wakuondoe kwenye system yao waliyokusajirKwan hawajui kama nime reject...coz nime click tayar button ya kukataa admission au Adi kesho asubuhi waki amka Wataona
Duh sawa....ngoja nipambane....Amna majina Yameshapelekwa TCU na chuo husika kwahiyo sahiz wew unasomeka kama mwanachuo wa Muccobs ili jina lako liondolewe TCU inabidi uwapigie wao wakuondoe kwenye system yao waliyokusajir
Sasa kwa nin hupataki muccobs, mbona pazuri tu?Duh sawa....ngoja nipambane....
Tatizo ....ni karibu...Na home....Sasa kwa nin hupataki muccobs, mbona pazuri tu?
Inakuzuia nin kusoma?Tatizo ....ni karibu...Na home....
Hv jaman kama chuo hukitak kwann mnaangaika kukiomba!? Ona sasa unavyoangaika! Na ukileta masihara mwaka huu utakosa chuo chalii yangu! Amini kwambaTatizo ....ni karibu...Na home....
Ili tokea tu...Ila TCU wana complicated sana ,sasa nime Sha cancel Ila nikitaka apply inaleta shidaHv jaman kama chuo hukitak kwann mnaangaika kukiomba!? Ona sasa unavyoangaika! Na ukileta masihara mwaka huu utakosa chuo chalii yangu! Amini kwamba
Mkuu umeomba ushauri, huyo unayemwambia anakupangia....inawezekana yupo kwenye hiyo michakato ya uchambuzi,so fuatilia vyote unavyoshauriwa kwa makini kama unataka kufanikiwa, ukijifanya mjuaji utafail kwenye mishe zakoUnanipangia
Jaza fomu TCU coz tiyari ulikuwa na full admissionNaomba kujua ,nili apply vyuo vitatu nikapata kimoja muccobs ambayo ni full admission Ila nime cancel ili niweze apply chuo kingine lkn wakat wa kufanya applications chuo kingine ina sema "you
Do not have clear status please consult TCU for reconciliation"
Ni kweli kabisa kuna jamaa alikosa chuo hivyo hivyoHv jaman kama chuo hukitak kwann mnaangaika kukiomba!? Ona sasa unavyoangaika! Na ukileta masihara mwaka huu utakosa chuo chalii yangu! Amini kwamba
UDSM sijawahi waelewa kwenye selection za mwanzo mkuu, wewe tegea mda wanakaribia kufunga dirisha la uombaji hapo unapata hata kwa GPA ya 2 point somethingMm nilikuwa na 4.4 overall na nimepiga diploma ya account MoCU ila nikaaply juzi, na nimepigwa nyundo, na mathematics ya o level Nina C