Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu GPA isikutishe, ingawa ni vizuri kuwa na GPA nzuri.Ila katika vigezo vya kupata kazi, vitu vingi sana vinaangaliwa.Mbali na GPA kwenye cheti, mwajiri atataka kujua je, kilichoko kwenye cheti na kichwani vinaendana?? Sasa hapo mtu anaweza kuwa na 'A' za IT, ila hata kuwasha computer hajui!!!Bhululu kwa iyo Gpa sio ubora wa kazi
Mkuu GPA isikutishe, ingawa ni vizuri kuwa na GPA nzuri.Ila katika vigezo vya kupata kazi, vitu vingi sana vinaangaliwa.Mbali na GPA kwenye cheti, mwajiri atataka kujua je, kilichoko kwenye cheti na kichwani vinaendana?? Sasa hapo mtu anaweza kuwa na 'A' za IT, ila hata kuwasha computer hajui!!!
Kabisa mkuu!Bhululu kwa iyo kilichopo chetini sio cha kichwani sometimes