flyn rider
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 456
- 78
GPA ni huko huko kwenye sociology zenu,sisi wahandisi muhimu uwe na kitu kichwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu changia kwa hoja siyo kukashifu kozi za watu!!GPA ni huko huko kwenye sociology zenu,sisi wahandisi muhimu uwe na kitu kichwani
GPA ni huko huko kwenye sociology zenu,sisi wahandisi muhimu uwe na kitu kichwani
Wadau vyuo vimekua vingi sana na wahitimu ni wengi.Tunapoelekea tetesi ni kua itafikia kipindi wenye GPA kali ndo wanaajiriwa kama udokta,ualimu,wahandisi
jinga!gpa ni huko huko kwenye sociology zenu,sisi wahandisi muhimu uwe na kitu kichwani
Wadau vyuo vimekua vingi sana na wahitimu ni wengi.Tunapoelekea tetesi ni kua itafikia kipindi wenye GPA kali ndo wanaajiriwa kama udokta,ualimu,wahandisi
Hvi Gpa ya 3.3 ni mbaya au nzurí?
hiyo mbaya huwezi pata ajira hata kidogo is like division4 ya 0level
GPA inadumaza akili,vyuoni watu wanasoma zimamoto,wanafaulu ktk semester ya pili mtu anasahau alicho soma..kiukweli GPA nzuri mfano 3.5,au 4 ama 4.5 au 5 tatizo ukiacha cheti,wangapi wanaweza kudhihirisha kwa vitendo?Hata hivyo watu wasibweteke waendelee kusoma kwa kuelewa na siyo KUMEZA