GPA zetu bongo kweli ni kizungumkuti

GPA zetu bongo kweli ni kizungumkuti

Dah!udsm watu wanapata hadi GPA za 1.8.
 
Jaribu kuichunguza hiyo st. Joseph kabla ya kuishutumu. GPA ya 'mhindi' si mchezo
 
Acheni ujinga madogo, someni.
Mm nimemaliza UDSM law, tena miaka ile wakati chuo kina sifa zake (acha skuhzi kimejaza vilaza), gpa yangu ni 4.1, nilipewa bure?
Ujinga wako usiulazimishie kwa watu wengine.
Ushinde unacha facebook halafu upate 4!!!?

Hujaulizwa GPA yako, toa facts
 
Naona matangazo ya kuongeza elimu, kazi n.k eti GPA sijui above 3.8, wengine 4.0 n.k n.k
Sasa swali langu je ni ya chuo gani? kwasababu kuna vyuo unaanza mpaka unamaliza hakuna mtu aliwahi kupata GPA ya 4 mifano tunayo ,na kuna baadhi ya vyuo yaani watu wameishia GPA ya 4.0, ukiangalia GPA zao ni vichekesho eti 4.9, 4.8 siuji 4.7 ambayo mimi na U T.O wangu siwezi kwa hiki chuo nilichopo. Elimu ya chuo kikuu bongo ya kijinga kungekua na TCU examinations watu washindane GPA ila sio uhuni wengine wanapewa wengine wananyimwa.
Yaani ni sawa necta zisingekuwepo halafu unachagua watu kwenda Form Five kuangalia matokeo ya shule zao ya terminal unaweka cuuttpoint kabisa kuanzia 75,na wakati kila shule ilifanya mtihani wake .Nazungumza hivi kwasababu kuna shule wastani utakuta wanaanzia 65 wengine 95 n.k
Hakuna elimu mbovu kama ya chuo ,unfair.. elimu form IV tu na six huku kwingine mbwembwe ,ngoja na mimi nianzishe chuo changu wanafunzi GPA zao hazitakua chini ya 4.5 wote wawe na vigezo muhimu .
Vipi dogo, mbona mahasira mengi? Wamekushika?
 
Tuacheni Ubishi Elimu ya 6 pekee Ndiyo Ngumu uku kwingine Tunabishana tuu au mnataka kusema kwa usomaji wa Vyuoni mtu akapelekwa O-level asome masomo 12 atawezakupata anaiyo 4 yenyewe?
Vyuoni kama wewe binti ni Mzuri ushafauru:...::::
 
Bwana Menison hizo GPA waachie wanaobaki chuo kufundisha! Wewe tafuta kazi utapata hata GPA ya 2.0 utapata tuna mifano mizuri, ukifuatilia utajua kuwa wengi wa wenye GPA kubwa si wapetaji wazuri wa kazi zinazolipa! Wanapata tu tutorials, ulecturer!
TRA wameweka hizi kupunguza competition!
 
Vyuo vya private wanauza gpa tu hamna lolote,udsm hamna pumba hizo ndo maana kinafanya vizuri katika viwango vya kimataifa..najua inawauma lkn ukweli ndo huo wadau
 
Kaka je unafananisha UDSM sawa na hivi vyuo vingine kama Tumaini,St augstn,st joseph na vingnevo?????kupata dat GPA ni peupe kaka na naamn nawe ni mmoja wa hivyo vyuo vya GPA kubwa
 
Acha uongo we kama kichwa chako kibovu acha kuweka rawama me nilienda ofis za udsm pale sabasaba kila department wakanipa true fact ya usomaji na upataji wa gpa nzur na list ya waliofanya vizuri tangu chuo kianze
Umeshamaliza chuo?..umepata GPA ya kiasi gani?
 
Yani T.O halafu hata kuandika hauwezi? Pole kijana ma T.O wenzako hawapo hvyo hawalalamiki kimbuluraz kama wewe pambana!!
 
SUA na MUCCOBS ni Noma hasa hasa SUA,GPA zao sijui wanatumia mfumo gani hawa majamaa,we chuo gani eti hata coz laini kwenye vyuo vingine kwao ngumu,huko hata rural development hukawii kupata GPA 2.0 wakati wazee wa ngwini ka vyuo vingine ndio coz zo za kutokea na kupiga GPA za 5.0 na kuchukulia mikazi UN na TRA,mi yangu ndogo sana 2.7 tu ila najua vituuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu weeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
 
Ila ukipambana mbn unatoka tu kitu kupambana hata gpa above 4.0 unaweza pata, udsm mbna m nimeona watu wakipata.
 
Naona matangazo ya kuongeza elimu, kazi n.k eti GPA sijui above 3.8, wengine 4.0 n.k n.k
Sasa swali langu je ni ya chuo gani? kwasababu kuna vyuo unaanza mpaka unamaliza hakuna mtu aliwahi kupata GPA ya 4 mifano tunayo ,na kuna baadhi ya vyuo yaani watu wameishia GPA ya 4.0, ukiangalia GPA zao ni vichekesho eti 4.9, 4.8 siuji 4.7 ambayo mimi na U T.O wangu siwezi kwa hiki chuo nilichopo. Elimu ya chuo kikuu bongo ya kijinga kungekua na TCU examinations watu washindane GPA ila sio uhuni wengine wanapewa wengine wananyimwa.
Yaani ni sawa necta zisingekuwepo halafu unachagua watu kwenda Form Five kuangalia matokeo ya shule zao ya terminal unaweka cuuttpoint kabisa kuanzia 75,na wakati kila shule ilifanya mtihani wake .Nazungumza hivi kwasababu kuna shule wastani utakuta wanaanzia 65 wengine 95 n.k
Hakuna elimu mbovu kama ya chuo ,unfair.. elimu form IV tu na six huku kwingine mbwembwe ,ngoja na mimi nianzishe chuo changu wanafunzi GPA zao hazitakua chini ya 4.5 wote wawe na vigezo muhimu .

Masikini T.O dah poleeeeeeeee
Chuoni sio Secondari......Chuo ni safari nyingine, waulize ma T.O wenzio wote walipofika vyuo waliendelea kua ma T.O????
In short mdogo wangu toka level moja ya elimu kwenda nyingine mambo huwa yanabadilika,..T.O wa wakati wako wa primary school inawezekana kabisa kidato cha IV hakufanya vizuri sanaaaa,na T.O wa mwaka wako kidato cha nne inawezekana A-level alichemka...vivyo hivyo hata form 6..swala sio U T.O, swala ni Je unaweza vipi kukabiliana na changamoto za Elimu ya Level uliyopo??
Mifano:
1.Kuna jamaa nilisoma nae primary alikua kilaza we acha,akafeli darasa la saba,O-level akaenda St.Anthony ajabu ndio kichwa kilichoweka div1 pnt 8 mwaka huo pale St.Anthony
2.Kuna kijana alimaliza form four mkali balaa pale Azania,akiwa ana point 3 ktk comb zote tatu. Kapiga form6 ana Div IV kwenda Zero

MAWAZO YANGU....
 
Mkuu..sidhani kama ulisemali kuna ukweli ndani yake..sitaki kuamini kama kuna vyio wanagawa gpa...mkuu ukisema udsm ni ngumu kupata gpa ya 4 n above pia siamini..kun rafiki yangu alisoma engineerin na alipata gpabya 4.8..na kuna alikua bcom alipata first class pia..mkuu usilaumu chuo kama uwezo wako ni mdogo mkuu..
Jitahidi kusoma na kumcha mungu kwani yote yanawezekana.
 
Masikini T.O dah poleeeeeeeee
Chuoni sio Secondari......Chuo ni safari nyingine, waulize ma T.O wenzio wote walipofika vyuo waliendelea kua ma T.O????
In short mdogo wangu toka level moja ya elimu kwenda nyingine mambo huwa yanabadilika,..T.O wa wakati wako wa primary school inawezekana kabisa kidato cha IV hakufanya vizuri sanaaaa,na T.O wa mwaka wako kidato cha nne inawezekana A-level alichemka...vivyo hivyo hata form 6..swala sio U T.O, swala ni Je unaweza vipi kukabiliana na changamoto za Elimu ya Level uliyopo??
Mifano:
1.Kuna jamaa nilisoma nae primary alikua kilaza we acha,akafeli darasa la saba,O-level akaenda St.Anthony ajabu ndio kichwa kilichoweka div1 pnt 8 mwaka huo pale St.Anthony
2.Kuna kijana alimaliza form four mkali balaa pale Azania,akiwa ana point 3 ktk comb zote tatu. Kapiga form6 ana Div IV kwenda Zero

MAWAZO YANGU....

Sizungumzii U T.O ,nazungumzia kama kuna fair ness ya mitihani vyuo vyote nchini koz kila chuo kina mtihani wake then tunasema GPA ndo kigezo kazini .Kuna baadhi ya vyuo vikuu ukiona mitihani yao utacheka sana yaani.Yaani ni pumba halafu ndo wanakua na ma GPA makubwa
 
Back
Top Bottom