GPA zetu bongo kweli ni kizungumkuti

GPA my ass soma u-graduate!!
Otherwise uwe unataka mashindano
au unataka kuwa professa
 

kaka umenena hzo ndo GPA zetu Hapa udsm
 

UDSM bwana kinaumiza sana. Mtu form four na six ana one ila akija hapa anapigwa lower dah. hvi unadhani ni kilaza au ? In short kuna vipaji vingi tu vinaharibiwa hapa udsm. Najua hawa wangekua chuo kingine wangeperform vizuri. Inauma sana. Yakikupata mtamuelewa huyu jamaa. Ok labda kuna kitu walikosea!!!
 
Nadhani ushanisoma kaka,wengine wangekua waelewa kama wewe ingekua safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…