Baba Watoto
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 393
- 277
Msalimie Sana Sammy,he is gud guy,very friendly...
Naona mnamnyoosha jamaa.Msalimie Sana Sammy,he is gud guy,very friendly...
Labda kajaribu Wabongo ameona ni hasara tu.This Hotel for three years or so, is under the management of a foreigner, though is locally owned by a Tanzanian.
Ni kweli hakuna Mtanzania anaweza kuwa manager hapa? Tunalalamikia kazi hakuna, ni kweli hatuna mtanzania anaweza endesha hotel hii ya kiwango cha chini hivi?
Authorities kazi kwenu. Uhamiaji. Kuna tatizo hapa mkoani Mbeya maagizo ya Mh Rais hayafuatwi.
Yes he is good nitamsalimiaMsalimie Sana Sammy,he is gud guy,very friendly...
watu wamelia sana wengi biashara walifunga sababu ya hesabu za magumashi.....mtu anakwambia nataka kodi iwe kiasi hiki bas we unatengeneza hesabu kwa kurudi nyuma unaanzia kwny kodi unarudi hadi kwenye mauzo kazi kwisha......alivoingia Magu kikaja kilio na mhasibu anakupiga chenga msala unabaki kwako mwenye biasharaMuhasibu akiandaa hesabu anatoa triplicate copy...moja inaenda TRA, nyingine kwa mteja na yeye anabakiwa nayo moja...au siku hizi utaratibu uko vipi.....na yeye hawezi peleka hesabu za magumashi TRA...
Tena wapo registered na wanatambulika hadi TRA, shida wanapenda short cut afu malipo manono.Unaiaibisha bodi (NBAA) maana wanaoandaa hesabu ni wahasibu ambao wanaotambulika na bodi mkuu
Kweli. Ila kama tunataka maendeleo hatuyapata kwa kufikiria kuwa majirani zetu au watu wa nje wanatufanyia kazi. Tutakuwa tumepotea. Ni lazima tuhakikishe watu wetu wanafanya kazi zetu wenyewe.Tunafungua biashara ili tupate faida .sasa utanilazimisha kumwajiri mtanzania kwanini kama ni mvivu na hata lugha ya kuongea na wateja inampiga chenga! NIPATE HASARA KWAAJILI YAKO.ACHANA NA HUO UJINGA TULIWAAMBIA MSOME HAMTAKI SASA MNALALAMIKA.KAMA HUNA ELIMU NENDA KAFANYE KAZI NYINGINE SIO KUNG'ANG'ANIA KAZI USIZOWEZA
Rafiki yako hapo siwezi ongeza.Manager wa pale ni mkenya,ni rafiki yangu na alikuwa boss wangu pale landmark tukuyu, (hotel manager,) anaitwa "S" Amefanya kazi sehemu nyingi hapa Tanzania ikiwepo Regency kule mikocheni, akafanya corridor spring hotel arusha,(Kama sales and marketing manager) hotel zilikuwa zinajaa Sana sijui anapataje wageni ila alikuwa na mzungu mmoja kwenye hizo hotel akiwa sales Yule mzee ni marehemu.
Alifanya kazi briefly grand villa, baadaye kuna trainee alikuja field pale land mark bonge akawa anamla. Alipomaliza field akaondoka.
Either mjombaake au ami yake akawa anataka kufungua lle hotel, fatma huyo bonge akamwaambia amlete that guy.
Yule manager amefungua ile hotel na kuifikisha pale ilupo. So many offers zimekuja hata Mimi Mara kadhaa nimempa michongo amekataa. He deserves that position, najua unakitu kingine just tell us what it is tukusaidie. He is a short black guy anavaa miwani.
Wewe ni raia wa wapi?Wivu tu unasumbua. Nimekua nikishuhudia Mara nyingi hata Arusha, hoteli nyingi zinasimamiwa na watu wa nje ,watanzania wengi ujanja mwingi na hatujitumi. Kuiba iba hata visabuni hatuchelewi. Msije mkasema siwapendi wa tz ila mkipewa nafasi wachache sana wanaeza itumia ipasavyo. Hao waasibu wengi wahuni wahuni sikuhizi halafu NBAA wajichunguze....CPA zinatolewa km njugu bhana! Wawe makini sana.
Mtu ana CPA ila hata kuandaa hesabu hawezi mpaka apate kuassistiwaaaa!
Achen wageni wafanye kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha unasema?!Acha apewa huduma zilikuwa mbovu sana. Tunabahtisha sana wabongo.
Imagine ungekuwa wewe ndiye mmiliki. Kama analipa kodi, huduma zipo vzr,wewe nenda kalale zile za mameneja wabongo.
Kuna kundi la wahasibu, usiombe hawa wabongo asee wakuandalie hesabu,ipo siku TRA watakudai kodi kama ile ya ACCACIA. Wao wanatazama fedha tu,ila ubora wa kazi hakuna ni ujanja ujanja wanamalizana na TRA vitu vikisanuka kama hawajui.
Watu wameamua kuwaajiri wahindi tu. Mambo yanaenda safi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha unasema?!
Cc Mfiaukweli
Hapana. Nimekunukuu uone hili tatizo sio dogo.Unaninukuu hapa kwamba mimi ni mmoja wa hao wahasibu wasio na ubora, au...?🙂
Hapana. Nimekunukuu uone hili tatizo sio dogo.
Wabongo walalamishi lakini mkipewa nafasi hizo mnaiba shenzi ksbisa
Sent using Jamii Forums mobile app
This Hotel for three years or so, is under the management of a foreigner, though is locally owned by a Tanzanian.
Ni kweli hakuna Mtanzania anaweza kuwa manager hapa? Tunalalamikia kazi hakuna, ni kweli hatuna mtanzania anaweza endesha hotel hii ya kiwango cha chini hivi?
Authorities kazi kwenu. Uhamiaji. Kuna tatizo hapa mkoani Mbeya maagizo ya Mh Rais hayafuatwi.
This Hotel for three years or so, is under the management of a foreigner, though is locally owned by a Tanzanian.
Ni kweli hakuna Mtanzania anaweza kuwa manager hapa? Tunalalamikia kazi hakuna, ni kweli hatuna mtanzania anaweza endesha hotel hii ya kiwango cha chini hivi?
Authorities kazi kwenu. Uhamiaji. Kuna tatizo hapa mkoani Mbeya maagizo ya Mh Rais hayafuatwi.