GR Hotel Mbeya inaongozwa na mtu aisye mtanzania kwa miaka 3 sasa. Je, hakuna mtanzania mwenye sifa ya kuwa Meneja hapo?

GR Hotel Mbeya inaongozwa na mtu aisye mtanzania kwa miaka 3 sasa. Je, hakuna mtanzania mwenye sifa ya kuwa Meneja hapo?

This Hotel for three years or so, is under the management of a foreigner, though is locally owned by a Tanzanian.

Ni kweli hakuna Mtanzania anaweza kuwa manager hapa? Tunalalamikia kazi hakuna, ni kweli hatuna mtanzania anaweza endesha hotel hii ya kiwango cha chini hivi?

Authorities kazi kwenu. Uhamiaji. Kuna tatizo hapa mkoani Mbeya maagizo ya Mh Rais hayafuatwi.
Labda kajaribu Wabongo ameona ni hasara tu.
Mishe na wizi mwingi sana. Wakati mwingine afadhali umlipe foreigner hela nyingi ili mambo yaende.
 
Muhasibu akiandaa hesabu anatoa triplicate copy...moja inaenda TRA, nyingine kwa mteja na yeye anabakiwa nayo moja...au siku hizi utaratibu uko vipi.....na yeye hawezi peleka hesabu za magumashi TRA...
watu wamelia sana wengi biashara walifunga sababu ya hesabu za magumashi.....mtu anakwambia nataka kodi iwe kiasi hiki bas we unatengeneza hesabu kwa kurudi nyuma unaanzia kwny kodi unarudi hadi kwenye mauzo kazi kwisha......alivoingia Magu kikaja kilio na mhasibu anakupiga chenga msala unabaki kwako mwenye biashara
 
Tunafungua biashara ili tupate faida .sasa utanilazimisha kumwajiri mtanzania kwanini kama ni mvivu na hata lugha ya kuongea na wateja inampiga chenga! NIPATE HASARA KWAAJILI YAKO.ACHANA NA HUO UJINGA TULIWAAMBIA MSOME HAMTAKI SASA MNALALAMIKA.KAMA HUNA ELIMU NENDA KAFANYE KAZI NYINGINE SIO KUNG'ANG'ANIA KAZI USIZOWEZA
 
Umenikumbusha Mbeya aisee pale ilikuwa kijiwe changu cha kunywa kahawa na juice baada ya kufunga kibanda changu pale lanchi taimu huyo manager anaitwa Sum hv bado yupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunafungua biashara ili tupate faida .sasa utanilazimisha kumwajiri mtanzania kwanini kama ni mvivu na hata lugha ya kuongea na wateja inampiga chenga! NIPATE HASARA KWAAJILI YAKO.ACHANA NA HUO UJINGA TULIWAAMBIA MSOME HAMTAKI SASA MNALALAMIKA.KAMA HUNA ELIMU NENDA KAFANYE KAZI NYINGINE SIO KUNG'ANG'ANIA KAZI USIZOWEZA
Kweli. Ila kama tunataka maendeleo hatuyapata kwa kufikiria kuwa majirani zetu au watu wa nje wanatufanyia kazi. Tutakuwa tumepotea. Ni lazima tuhakikishe watu wetu wanafanya kazi zetu wenyewe.
Wapo wengi sana. Ukiwemo wewe. Labda nawe uniambie hujiwezi
 
Manager wa pale ni mkenya,ni rafiki yangu na alikuwa boss wangu pale landmark tukuyu, (hotel manager,) anaitwa "S" Amefanya kazi sehemu nyingi hapa Tanzania ikiwepo Regency kule mikocheni, akafanya corridor spring hotel arusha,(Kama sales and marketing manager) hotel zilikuwa zinajaa Sana sijui anapataje wageni ila alikuwa na mzungu mmoja kwenye hizo hotel akiwa sales Yule mzee ni marehemu.

Alifanya kazi briefly grand villa, baadaye kuna trainee alikuja field pale land mark bonge akawa anamla. Alipomaliza field akaondoka.

Either mjombaake au ami yake akawa anataka kufungua lle hotel, fatma huyo bonge akamwaambia amlete that guy.

Yule manager amefungua ile hotel na kuifikisha pale ilupo. So many offers zimekuja hata Mimi Mara kadhaa nimempa michongo amekataa. He deserves that position, najua unakitu kingine just tell us what it is tukusaidie. He is a short black guy anavaa miwani.
Rafiki yako hapo siwezi ongeza.
Muhimu ni wewe na mimi kuwa marafiki ba kuendesha mambo yetu wenyewe kama Watanzania.

Huwezi toa sifa kwa mtu ambazo pia unastahili kuwa nazo. Tufanyie kazi uwezo wetu na tuachane na kasumba ambayo kwa hakika inaharibu sana uwezo wetu kupanda juu. Inatutia woga ambao haupo
 
Wivu tu unasumbua. Nimekua nikishuhudia Mara nyingi hata Arusha, hoteli nyingi zinasimamiwa na watu wa nje ,watanzania wengi ujanja mwingi na hatujitumi. Kuiba iba hata visabuni hatuchelewi. Msije mkasema siwapendi wa tz ila mkipewa nafasi wachache sana wanaeza itumia ipasavyo. Hao waasibu wengi wahuni wahuni sikuhizi halafu NBAA wajichunguze....CPA zinatolewa km njugu bhana! Wawe makini sana.

Mtu ana CPA ila hata kuandaa hesabu hawezi mpaka apate kuassistiwaaaa!

Achen wageni wafanye kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni raia wa wapi?
 
Acha apewa huduma zilikuwa mbovu sana. Tunabahtisha sana wabongo.

Imagine ungekuwa wewe ndiye mmiliki. Kama analipa kodi, huduma zipo vzr,wewe nenda kalale zile za mameneja wabongo.

Kuna kundi la wahasibu, usiombe hawa wabongo asee wakuandalie hesabu,ipo siku TRA watakudai kodi kama ile ya ACCACIA. Wao wanatazama fedha tu,ila ubora wa kazi hakuna ni ujanja ujanja wanamalizana na TRA vitu vikisanuka kama hawajui.

Watu wameamua kuwaajiri wahindi tu. Mambo yanaenda safi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha unasema?!
Cc Mfiaukweli
 
Hapana. Nimekunukuu uone hili tatizo sio dogo.

Nilishawahi kuandika hapa kuwa imani kwamba kila mwenye cheti anaweza kufanya kazi kwa ufasaha ni uwendawazimu. Wahasibu wengi ninaowafahamu wanafanya kazi utadhani ni extension ya TRA. Utakuta "mhasibu" eti anamuelekeza mfanyabiashara aliebambikiwa kodi: "tuandike barua ili ulipe kidogo kidogo". Na watendaji TRA kwa kujua kuwa watu wengi hawajui haki zao (na wana wahasibu wa sampuli hiyo) ndio wanazidi kuzusha madai ya ajabu ajabu.
 
GR is among the best hotel in Mbeya, wacheni wageni tupate huduma bora. Mtu unalala chumba cha tzs 35,000 unamkia supu ya kuku, viazi mchemsho, chai, mayai, nk???
This Hotel for three years or so, is under the management of a foreigner, though is locally owned by a Tanzanian.

Ni kweli hakuna Mtanzania anaweza kuwa manager hapa? Tunalalamikia kazi hakuna, ni kweli hatuna mtanzania anaweza endesha hotel hii ya kiwango cha chini hivi?

Authorities kazi kwenu. Uhamiaji. Kuna tatizo hapa mkoani Mbeya maagizo ya Mh Rais hayafuatwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jenga hotel yako uwaajiri wabongo watakufilisi mfyooo.....ataiba mpaka carpert

Back
Top Bottom