Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Kwa wale wafuatiliaji wa taarifa za habari katika TV zetu mtakubaliana na mimi kuwa huyu mwanadada Grace Kingalame ni moto wa kuotea mbali anapokuwa studio,hasa akiwa na Joseph Msami....Sidhani kama kuna mtangazaji wa kike mwenye uwezo wa juu kama huyu.....
amekutuma uje umsifie huku?,huyu dada ni mpuuzi sana na alionyesha huo upuuzi wake kwenye taarifa za habari wakati wa kampeni mwaka 2010 kwa kuonyesha upendeleo wa wazi kwa magamba maana namna anavyohoji wapinzani inaonyesha kabisa yuko 'biased' kitu ambacho siyo kizuri kwa mwandish/mtangazaji wa habari!
Namkubali pia she is so cute ( natural colour nywele na mengine mengi) big up dada endelea hivyo.
vipi Christine amanpour wa cnn?
...Kwa wale wafuatiliaji wa taarifa za habari katika TV zetu mtakubaliana na mimi kuwa huyu mwanadada Grace Kingalame ni moto wa kuotea mbali anapokuwa studio,hasa akiwa na Joseph Msami....Sidhani kama kuna mtangazaji wa kike mwenye uwezo wa juu kama huyu.....
Mie nina kitu tofauti kuhusu watangazaji wote wa TV zote Tz. Hivi ni desturi au sheria kuwa WANAUME watangazaji ndio wawe wao wanaongoza katika utangazaji na sio WANAWAKE??. Kila taarifa ya habari Mwanaume ndiye anajitia kuintroduce na kumuintroce Mwanamke mtangazaji. Hii inanikera sana. Wanawake wanauwezo mkubwa hata kuliko hao wanaume wanaojipeleka kimbelembele. Kwa mfano ............ Endelea kujaza orodha.
Hongera kwake...Kwa wale wafuatiliaji wa taarifa za habari katika TV zetu mtakubaliana na mimi kuwa huyu mwanadada Grace Kingalame ni moto wa kuotea mbali anapokuwa studio,hasa akiwa na Joseph Msami....Sidhani kama kuna mtangazaji wa kike mwenye uwezo wa juu kama huyu.....