..Grace Kingalame wa tbc1........................................

Mimi ningependa kama kuna wataalamu wa ku read aina za watu humu

wanieleze midomo ya huyu dada na wanawake wenye midomo hiyo wanakuwaga vipi???
 
Namkubali pia she is so cute ( natural colour nywele na mengine mengi) big up dada endelea hivyo.
 

amekutuma uje umsifie huku?,huyu dada ni mpuuzi sana na alionyesha huo upuuzi wake kwenye taarifa za habari wakati wa kampeni mwaka 2010 kwa kuonyesha upendeleo wa wazi kwa magamba maana namna anavyohoji wapinzani inaonyesha kabisa yuko 'biased' kitu ambacho siyo kizuri kwa mwandish/mtangazaji wa habari!
 

sio kosa lake alikua anafuata maelekezo ya mwajiri wake mwisho wa mwezi alipwe.
Mbona siasa kila mahali jamani?
 

Unampenda tu, tukija kwenye watangazaji wazuri na wenye uzoefu akina Jane Shirima utawaweka wapi? At her level she is the best!
 
Siku hizi anapendeza kweli, naona anasuka lasta sio kama zamani.
 

naona umesahau sheria ya MUNGU.
 
Hongera kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…